george chambila
Member
- Sep 27, 2014
- 27
- 2
jamani naombe msaada wenu wadau nina pes 2014 na pes 2015 lakini zote ninapoconect pad hazichez ninatumia key board tu sijui nifanyaje nisaidieni jinsi ya kuweza kuchezea pad kwenye pes
inafanya kazi vizuri lakini inaruhusu kucheza one person with pc so nataka nicheze mm na mtu mwingine tunataka tucreate kombe mm na yeye tushindane kila mtu achague team yake