namanyele
JF-Expert Member
- Oct 19, 2012
- 1,852
- 610
Habari wanajukwaa,naombeni kujuzwa kwa wanaofahamu jinsi ya kutumiwa na kupokea pesa toka bara la America na Ulaya,njia gani bora mtu anaweza kutumia ili aweze kutuma pesa kuja Tanzania? je,jinsi gani mtumiwaji anaweza kupokea hizo pesa?
Ahsanteni!
===============================================
Ahsanteni!
===============================================
Njia mbili rahisi
kwanza pesa yaweza tumwa moja kwa moja ktk account yako, gharama kwa mtumaji ni ndogo sana yaaani akikutumia $1000 sending charge itakuwa $17 tatizo ni kuwa huwezi zipata muda huohuo inachukua siku moja Kama imetumwa siku ya kazi,
Njia ya pili japokuwa ni gharama kidogo ni western union mfano akikutumia $1000 gharama ya utumaji itakuwa Kama $80 lakini utapata ndani ya sekunde chache,+971504374387 Dubai
Western Union or Money Gram.
Tumia njia hizi na pesa itamfikia mlengwa within 5mins after sending.
Money Gram nenda Exim Bank au Twiga bank na Western Union nenda bank ya poster, Amana bank,BOA etc.....