Msaada: Kutokwa na madonge ya damu baada ya kunywa p2

Ujasiri wa kutueleza umetoa mimba unaupata wapi?

P2 inamezwa ndani ya masaa kadhaa yasiyozidi siku mbili baada ya mwanamke kubakwa ili kuzuia upatikanaji wa mimba isiyo na baba.

Anyway poleni.
 
Habari zenu Wakuu!
Mwezi Januari nilisex na shemeji yenu/wifi yenu na kwa kuwa hatukuwa tayari kuwa na mtoto mwingine ikanibidi nimnunulie p2, nikampatia kisha nikaenda kazini (mkoani).

Sasa leo ameniambiwa kuwa ile p2 hakumeza ila alimeza j4 ya wiki iliyopita, na alivyomeza kuna damu ilitoka kuanzia sa 4 mpaka sa 8 ikastop, damu hiyo sio ya period, ilikuwa nzito na kukatokea madonge madonge kama matatu hivi.

Sasa wakuu swali langu ni hili, je yale madonge yanasababishwa na nini? na imekuaje mpaka ameze p2 ndo madonge hayo yatoke kwa sasa anajisikia mapigo ya moyo kwenda kasi, kutapika n.k ila najua hizi ni effects tu za dawa hii ya p2.

Msaada wenu Wakuu!
Ndio mjifunze. Mwenyezi Mungu alipokataa masuala ya uzazi wa mpango kwa njia hizo hakuwa anasema uongo..
 
Samahani p2 zinasaidia kuzuia mimba ndani ya massa 72 me nmekunywa ndani ya massa 24 tangu nsex hivyo itanisaidia viur
 
Habari zenu Wakuu!
Mwezi Januari nilisex na shemeji yenu/wifi yenu na kwa kuwa hatukuwa tayari kuwa na mtoto mwingine ikanibidi nimnunulie p2, nikampatia kisha nikaenda kazini (mkoani).

Sasa leo ameniambiwa kuwa ile p2 hakumeza ila alimeza j4 ya wiki iliyopita, na alivyomeza kuna damu ilitoka kuanzia sa 4 mpaka sa 8 ikastop, damu hiyo sio ya period, ilikuwa nzito na kukatokea madonge madonge kama matatu hivi.

Sasa wakuu swali langu ni hili, je yale madonge yanasababishwa na nini? na imekuaje mpaka ameze p2 ndo madonge hayo yatoke kwa sasa anajisikia mapigo ya moyo kwenda kasi, kutapika n.k ila najua hizi ni effects tu za dawa hii ya p2.

Msaada wenu Wakuu!
Hiyo familia ambayo tayari ishaua kiumbe, roho zao hurudi kudai haki itendeke.
 
Back
Top Bottom