Msaada kutoa password HDD

DUMEGUY

JF-Expert Member
Aug 15, 2014
500
204
Habari za Musa huu wadau,

Niliweka password Kwa harddrive yangu sasa nashangaa password zinakataa laptop ni Dell latitude naomba msaada kuelekezwa jinsi ya kuiformart au kuibypass maana hata ukipiga Window ukifika maala ya kuchagua disk ipo empty.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom