Msaada kutengenezewa ecommerce website

Msaada kutengenezewa ecommerce website

Gulio Blog

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,056
Reaction score
4,124
nauliza inatakiwa gharama kiasi gani kutengenezewa ecommerce website mpaka inakamilika
nilijalibu kwa kampuni ya shopify kutengeneza mimi mwenyewe lakini plan zao kwa mwezi ni kubwa sana basic plan ni $ 29
nahitaji kutengenezewa kwa kampuni nyingine ambayo itakuwa haizidi dollar 15

kama mtanipa step za kuitengeneza mimi mwenyewe itanisaidia zaidi afu nikagharamia domain na hosting
 
Search google Wordpress
utatengeneza domain yako mwenyewe​
kwa​
bei nafuu​
 
hosting- kuanzia bure dola moja, mbili, tatu kuendelea inategemea na mahitaji
domain- bure, au around dola 10 kwa mwaka
CMS tumia os class

hivyo around 100,000 kwa mwaka unapata hosting nzuri, jina la .com na site yako. na msimu huu wa black friday unaweza pata jina la .com na hosting kwa elfu tano tu, hivyo kama unajua unapoangalia kwa sh 5000 unapata site yako ya ecommerce wiki hii.

nenda hapa kuangalia software ya ecommerce ambayo inatumika sana huku kwetu kama kupatana wametumia hii, ni ya bure

Osclass, the free classifieds script
 
Back
Top Bottom