Msaada kusoma wildlife management

Msaada kusoma wildlife management

Joined
Aug 4, 2018
Posts
6
Reaction score
1
Naombeni msaada kwa mfadhili niweze kusoma wildlife management ndugu
Kwa ngazi ya degree nipo tayri kufanya nae mkataba nikimaliza nimudishie garama zake tafadhari naomben msaada kwa hili.
 
Watu kama hao hawapo awamu hii.
 
Soma dip mweka ila ada utajamba cheche ila uhakika wa kazi upo kama utasoma pale

Ila ukisoma huko,duu utasugua pumbu sana kijiweni no job
 
Back
Top Bottom