Msaada -Kurudisha deleted Numbers katika Phone book ya simu

Msaada -Kurudisha deleted Numbers katika Phone book ya simu

MPadmire

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
3,956
Reaction score
3,245
Kuna njia yeyote ya kurudisha Number za simu nilizodelete katika simu yangu?

NOKIA

Ama Katika line ya Vodacom
 
kama ungukuwa umez save kwenye memory card bas data recovery ingesaidia lashivyo .sijui atternative gan utatumia..
 
Wengi wamekumbwa na tatizo hili kwa sababu huwa hawajui faida ya data backup mpaka wanapokubwa na masahibu, hapo mkuu sahau tu sijui kama kuna alternative
 
deletion is a parmanent remove ...labda km ulifanya backup ...au una data recovery...laa sivyo ukipigiwa sema helow nan mwezangu..utaambiwa yani namba yangu umefuta?....majibu 1.nimerenew laini 2.simu display haionyesh 3.nimebadilisha simu xo majina yote yamebaki kwenye smu nyngine
hayo ndio baadhi ya majibu wanayotumia kujitetea ukipoteza namba ya mtu... ili kumridhisha tuu
 
We mpaka sasa unatumia nokia?

Sent from my Noki ya tochi using JamiiForums
 
Kuna sim-card data recovery ishu ni kwamba ili ufanye hiyo kitu ni lazima uwe na sim card reader...kwa kuipata sasa
 
Back
Top Bottom