mwanajamii1 Member Joined Sep 26, 2010 Posts 15 Reaction score 7 Jan 8, 2014 #1 Wanajamvi, niliireset simu yangu android v 2.2.1 na kupoteza data nyingi contacts zikiwemo. kwa bahati nzuri nilikuwa na back-up file kwenye format ya BAK na SPB lakini nimeshinda kurestore kwenye cmu, yoyote mwenye mwanga tafadhali.....:help:
Wanajamvi, niliireset simu yangu android v 2.2.1 na kupoteza data nyingi contacts zikiwemo. kwa bahati nzuri nilikuwa na back-up file kwenye format ya BAK na SPB lakini nimeshinda kurestore kwenye cmu, yoyote mwenye mwanga tafadhali.....:help:
sijui nini JF-Expert Member Joined Sep 29, 2010 Posts 2,553 Reaction score 1,293 Jan 8, 2014 #2 ulitumia njia gani kufanya hiyo backup?
E extra ordinary Member Joined Nov 22, 2012 Posts 50 Reaction score 11 Jan 8, 2014 #3 Kama kweli unauhakika kuwa una backup file.. Nenda kwenye backup program then restore.