Msaada kupunguza page kwenye Pdf

Anza kwa kuinstall library ya PyPDF2 kwa kuandika hii command 👇👇👇

...pip install PyPDF2

Ukishamaliza Anza kuandika script hii fupi ya Python kama ifuatavyo 👇👇👇

from PyPDF2 import PdfReader, PdfWriter

reader = PdfReader("input.pdf")
writer = PdfWriter()

# Chagua kurasa unazotaka kuweka

for i in range(len(reader.pages)):
if i not in [5]: #Hapa itafuta ukurasa wa 6 kwakua index huanza na 0.
writer.add_page(reader.pages)

with open("output.pdf", "wb") as output:
writer.write(output)

Ukimaliza save, kisha run hiyo script 😎😎

NB: hii itarun kama kompyuta yako iko na python 😅😅😅.

Kila la heri.
 
Hello wana jf, naombeni msaada kwa wataalamu mnaofahamu jinsi ya kupunguza page kwenye pdf, yani pdf ina page tano sasa nataka zibaki nne moja niitoe
Mbarikie sana wana jf kwa msaada wenu zoezi nimefanikiwa kulimaliza kwa kufuata maelekezo yaliyotolewa nanyi mungu awalinde
 
Hello wana jf, naombeni msaada kwa wataalamu mnaofahamu jinsi ya kupunguza page kwenye pdf, yani pdf ina page tano sasa nataka zibaki nne moja niitoe
Tumia Nitro ni perfect aiseee unaediti pdf, word, excel hata kama iko locked pamoja na kuongeza maneno unayotaka bila kuathiri page yako
 
Tumia sejda.com Online pdf editor

Hata kama huna uzoefu unaweza kufanya manipulation zako zote online kwa dakika chache tu
 
Tumia Nuance power pdf advance hiyo ndiyo Kila kitu hadi ku- reduce File size
 
Hello wana jf, naombeni msaada kwa wataalamu mnaofahamu jinsi ya kupunguza page kwenye pdf, yani pdf ina page tano sasa nataka zibaki nne moja niitoe
Mkuu Mike Moe,

Hiyo ni rahisi sana, hutakiwi ku-convert na kurudi Word.

Njia rahisi zaidi:

1. Kama ni page ya mwisho au ya kati unataka kuitoa:
Tumia tool ya Delete Pages.

Mimi hutumia hii ya bure, inafanya kazi hata kwenye simu:
👉 gridpdf.com - Ingia alafu chagua "Delete PDF Pages"

Utai-upload hiyo PDF yako ya pages 5, utaona pages zote kama picha ndogo ndogo. Bonyeza tu X kwenye page moja usiyoitaka, kisha Download. Inabaki na pages 4 tu na ubora unabaki ule ule.

2. Kama unataka kutoa page ya kwanza tu (kama cover):
Wengine hutumia "Extract Pages" - unaandika unataka pages 2-5 tu.

Hakuna haja ya ku-sign up na file linafutwa baada ya muda mfupi.

Mimi nilikuwa natoa page ya CV yangu iliyokuwa na picha mbovu, imenisaidia sana.

Jaribu uone, ukikwama niambie nikuelekeze na screenshot.
 
Kama unatumia PC nenda kwenye torrent sites download Adobe Acrobat Professional iliyo fanyiwa uharamia.
Install it at your own risk.
Hii una fungua hadi locked PDF files.
Hizi cracked software zina maunyama sana, niliwahi download Microsoft Word flani hivi ipo cracked, nnainjoy sana saana. Baadhi ya softwares laiti ingekuwa hakuna crackers tungeteseka na maisha haya ama tungepaswa mifuko yetu ipasuke.
 
Hello wana jf, naombeni msaada kwa wataalamu mnaofahamu jinsi ya kupunguza page kwenye pdf, yani pdf ina page tano sasa nataka zibaki nne moja niitoe
Kwenye chrome andika delete PDF page fuata maelekezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…