Msaada: Kupata Internet kupitia Nokia "Dabo-Dabo"

Msaada: Kupata Internet kupitia Nokia "Dabo-Dabo"

Mshindo

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2009
Posts
478
Reaction score
186
Wakuu Habari!
Nimenunua kithimu changu cha NOKIA C-200, al maarufu "dabo dabo". Kimenigomea ku-connect internet. Nimewapigia providers wangu Tigo na Vodaphone,wote wanasema hawawezi ku-connect kwa simu yenye chip zaidi ya moja. Vipi kuna work around yeyote wakuu?
Shukrani!
 
Toa line 2 halafu fanya config kwa kutumia line 1
 
cm kama hiyo nimeunganisha jana,tumia model tofauti mfano tumi wap nokia n70 kwa voda tuma 15300 utapokea confg
 
Back
Top Bottom