Msaada kupata file uliyoidownload kwenye opera min next

Msaada kupata file uliyoidownload kwenye opera min next

Kurunzi

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
10,196
Reaction score
11,623
Wadau naona Opera Min ni nzuri kwa matumizi lakini tattizo ni kuwa nikidowndola files unaiona inapodownload lakini ikimaliza sijui inaenda wapi.

Naomba msaada wa kiufundi.
 
mkuu wakati unaclick kitu kidownload lazima opera iulize unataka usave wapi kuwa makini sio kila kitu una acept.

then ukibonyeza menu halafu download utayaona mafile uliodownload na opera.

kama file linafunguka na os mfano miziki na video utaweza kuyafungua kutokea opera.

kama file yanafunguka na 3rd party mfano rom za emulator au compressed files kama rar hutaweza yafungulia toka opera hadi uende folder yalipodownloadika
 
Back
Top Bottom