Von Bismarck
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 4,611
- 10,859
Ukifika sema kondom ilipasuka
Anapimwa kujua kama tayari alishakuwa na maambukizi hapo awali kabla ya hii ngono ya jana.Sasa apimwe nini na ameshiriki ngono isiyosalama usiku wa kuamkia leo
Usiogope mwaya..umechukua hatua sahihi. Fanya uende hospital ya wilaya mapeema. Ni bora kunywa kwa siku 30 na sio maisha yako yote..Nipo nyuma yako...Me kupima so tatizo nipo shida nilyekutana naye alikata kutumia kondomu na hata kupima kakata nimeota waswas ndo Mana nahitaji izo dawa
One man down!one man down!I repeat..do you copy?

We jamaa burdan sana.Riverside alipata mteja akampa kavu sasa hajamwamini amepnUngefafanua yaliyo kukuta vzuri
🙄🙄🙄Ushapata ngoma huo mtaa hatari sana ,ila bado sana ndani ya wiki hakikisha ushaanza dozi hata kesho ukija mitaa ya mnazi mmoja, ukandisha ndani ndani kama unakuja posta huku kisutu zipo pharmacy za wahindi kibao wanazo izo dawa ila wanakera wauzaji wanakuwa wanawake , pharmacy nzuri ipo pale Azikiwe posta Ina kila aina ya dawa uswa ule wa bank ya crdb wauzaji wako kama watatu wote wanaume fresh tu hapo kadogo ila la kisasa zaidiSipafahamu Ila mm nipo maeneo ya riverside
Uwazovo sivuo ilivoRiverside alipata mteja akampa kavu sasa hajamwamini amepn
Sasa elezea kisa na mkasa cha kuomba PEP ni kipi au unakumbwa na Ebora?Uwazovo sivuo ilivo
Pamoja MkuuAsantee sana![]()
Kuwa Makini Bro...Ukiona Mtu wa Namna hiyo Ni Vyema Kuacha Sahivi Unataabika Sasa Kwa Starehe FupiMe kupima so tatizo nipo shida nilyekutana naye alikata kutumia kondomu na hata kupima kakata nimeota waswas ndo Mana nahitaji izo dawa
Kupewa dawa inachukua mlolongo mrefu nimepima hiv na nmeambiwa Tena nikapime Figo na ni hospital ya serikali Kuna folen mno
🤣🤣🤣🙌Hupewi PEP bila kupimwa ngwengwe Kwanza. Jiandae kisaikolojia, ukikutwa unayo bhaasi imeisha hiyooo unapewa referral kwenda kuanza ARVs hapo ndo mnakutana wengiiii kama club flan hv yaan full kuchoreshana, mpaka unajutaaa
Na pale Riverside kuna UKIMWI balaa aseeRiverside alipata mteja akampa kavu sasa hajamwamini amepn
😁😁😁😁Habari Wana jf
Nipo hapa kuomba msaada juu ya kupata dawa za PEP kwa hapa Dar es Salam kwa siku ya leo
Mkuu hiyo Avatar yakoHupewi PEP bila kupimwa ngwengwe Kwanza. Jiandae kisaikolojia, ukikutwa unayo bhaasi imeisha hiyooo unapewa referral kwenda kuanza ARVs hapo ndo mnakutana wengiiii kama club flan hv yaan full kuchoreshana, mpaka unajutaaa



hahahahahaha qmmmmmqHupewi PEP bila kupimwa ngwengwe Kwanza. Jiandae kisaikolojia, ukikutwa unayo bhaasi imeisha hiyooo unapewa referral kwenda kuanza ARVs hapo ndo mnakutana wengiiii kama club flan hv yaan full kuchoreshana, mpaka unajutaaa