Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,053
- 15,515
Kikubwa ni lazima upimwe kwanza. Jiandae kupima.
Sasa apimwe nini na ameshiriki ngono isiyosalama usiku wa kuamkia leo
Kikubwa ni lazima upimwe kwanza. Jiandae kupima.
Ungefafanua yaliyo kukuta vzuri
Me kupima so tatizo nipo shida niliyekutana naye alikata kutumia kondomu na hata kupima kakataa nimepata waswas ndo Mana nahitaji izo dawaNenda hospitali ya karibu na wewe. Dawa ni bure. Ukishindwa kujieleza vizuri utatakiwa ukamlete uliyemuuzia mechi.
Uwe tayari kupima
Kuwahi kwako ndo uhakika wa dawa kukusaidia. The sooner the better, japo protocol inasema ndani ya saa 72 baada ya biashara.
Wanapima ili kujua kama ana maambukizi ya huko nyuma.Inaonekana huyu ameuza mechi leo, sasa akipimwa leo; ile window period si itakuwa bado?
Ukaserereka na kavu au vpi 🤣🤣Me kupima so tatizo nipo shida nilyekutana naye alikata kutumia kondomu na hata kupima kakata nimeota waswas ndo Mana nahitaji izo dawa
Bora umenisaidia kumjibuSi waambie unataka kwenda kuangalia mgonjwa Mwananyamala Hospitali, Kisha waulize ulipo? Wewe ni wawapi wewe? Ndio maana umeuza mechi bila hata ya malipo.
Sasa apimwe nini na ameshiriki ngono isiyosalama usiku wa kuamkia leo
Wahi Kesho asubuhi hospitali ya wilaya. Ama kama muda unakaribia kwisha yaani saa 72 baada ya exposure nenda now hospitali ya wilaya, jielezee vizuuuuri usifiche. Watakuanzishia angalau vidonge viwili kisha rudi Kesho kwa ajili ya kupata full courseHabari Wana jf
Nipo apa kuomba msaada juu ya kupata dawa za PEP kwa apa dar es salam kwa siku ya leo
Not necessary.. Jiweke kwenye nafasi yake uone inavyokuwa vigumu kusema kilichotokea. Nampongeza kwa ujasili wa kutafuta msaadaUngefafanua yaliyo kukuta vzuri
Yaani ukishakojoa ndio unaona umefanya ujinga ...haya mambo bwana 😅Si waambie unataka kwenda kuangalia mgonjwa Mwananyamala Hospitali, Kisha waulize ulipo? Wewe ni wawapi wewe? Ndio maana umeuza mechi bila hata ya malipo.
Hupewi PEP bila kupimwa ngwengwe Kwanza. Jiandae kisaikolojia, ukikutwa unayo bhaasi imeisha unapewa referral kwenda kuanza ARVs hapo ndo mnakutana wengiiii kama club flan hv yaan full kuchoreshana, mpaka unajutaaa
😂😂😂😂😂nacheka kama mazuriOne man down!one man down!I repeat..do you copy?
Not necessary.. Jiweke kwenye nafasi yake uone inavyokuwa vigumu kusema kilichotokea. Nampongeza kwa ujasili wa kutafuta msaada