chichikande Member Joined Dec 24, 2018 Posts 55 Reaction score 66 Feb 9, 2025 #1 Habari wakuu, Natafuta sehemu naweza kuipata charging cable ya Swiss level. MaSurveyor naombeni msaada. Attachments 20250202_111742.jpg 360.8 KB · Views: 22
Habari wakuu, Natafuta sehemu naweza kuipata charging cable ya Swiss level. MaSurveyor naombeni msaada.
Bueno JF-Expert Member Joined Aug 16, 2022 Posts 34,610 Reaction score 59,584 Feb 9, 2025 #2 Inatumika kuchajia nini hio Cable simu au PC?
Royal Son JF-Expert Member Joined Dec 22, 2016 Posts 1,470 Reaction score 2,767 Feb 9, 2025 #3 Nenda kwenye Maduka ya Eletronics utapata hiyo Cable
Ponjoro wa Kinondoni JF-Expert Member Joined Jan 5, 2024 Posts 2,886 Reaction score 7,929 Feb 9, 2025 #4 Agiza online kama huna haraka.
Bueno JF-Expert Member Joined Aug 16, 2022 Posts 34,610 Reaction score 59,584 Feb 9, 2025 #5 Rozela said: Agiza online kama huna haraka. Click to expand... Cable ya nini kwani hio ya kuchaji Boti?
Rozela said: Agiza online kama huna haraka. Click to expand... Cable ya nini kwani hio ya kuchaji Boti?
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,269 Feb 9, 2025 #6 zerominus10 said: Inatumika kuchajia nini hio Cable simu au PC? Click to expand... Huoni hicho kifaa cha surveying mkuu?
zerominus10 said: Inatumika kuchajia nini hio Cable simu au PC? Click to expand... Huoni hicho kifaa cha surveying mkuu?
Bueno JF-Expert Member Joined Aug 16, 2022 Posts 34,610 Reaction score 59,584 Feb 9, 2025 #7 Guin said: Huoni hicho kifaa cha surveying mkuu? Click to expand... Surveying kwenye nini?
O OgaBoy JF-Expert Member Joined Aug 22, 2022 Posts 3,230 Reaction score 4,634 Feb 9, 2025 #8 zerominus10 said: Surveying kwenye nini? Click to expand... KWENYE SWISS LEVEL
Bueno JF-Expert Member Joined Aug 16, 2022 Posts 34,610 Reaction score 59,584 Feb 9, 2025 #9 OgaBoy said: KWENYE SWISS LEVEL Click to expand... Sawa mkuu nimekuelewa vizuri sasa
Baba Rhobi JF-Expert Member Joined Nov 4, 2020 Posts 1,801 Reaction score 3,264 Feb 12, 2025 #10 zerominus10 said: Sawa mkuu nimekuelewa vizuri sasa Click to expand... 🤓🤓🤓 Watu hamtaki shida.
chichikande Member Joined Dec 24, 2018 Posts 55 Reaction score 66 Feb 15, 2025 Thread starter #11 Asanteni wakuu, kuna mzee mmoja Surveyor ananitafutia
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,201 Reaction score 185,484 Feb 15, 2025 #12 Swiss Geo Level AG... Ulipokitoa umesahau kuchomoka na cable yake... Cc: Mahondaw
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,009 Reaction score 177,313 Feb 15, 2025 #13 Smart911 said: Swiss Geo Level AG... Ulipokitoa umesahau kuchomoka na cable yake... Cc: Mahondaw Click to expand... Kwamba akaifate alipotoa hio Geo
Smart911 said: Swiss Geo Level AG... Ulipokitoa umesahau kuchomoka na cable yake... Cc: Mahondaw Click to expand... Kwamba akaifate alipotoa hio Geo
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,201 Reaction score 185,484 Feb 15, 2025 #14 Mahondaw said: Kwamba akaifate alipotoa hio Geo Click to expand... Kasahau kupita na cable...
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,009 Reaction score 177,313 Feb 15, 2025 #15 Smart911 said: Kasahau kupita na cable... Click to expand... Hahaa