Wakuu Habari ya Jumapili
Nina matatizo mawili;
1. flash yangu kwa miezi karibu minne sasa inagoma ku save au ku delete documents kwa sababu ni write protected. Naomba msaada jinsi ya kuondoa hiyo "Write protected" status. Flash yangu ni Transend (8 GB)
2. Katika kuchezea chezea PC yangu nilijikuta niweka partition na sasa naona imezidiwa nataka niondoe hiyo partition lakini nachemka. Naomba msaada namna ya kuondoa hiyo partition. PC yangu ni DELL
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu nyote