Msaada: Kuondoa screen overlay detected & ku-change permission settings kwa Samsung J7.

stonekj

Member
Feb 15, 2017
17
6
Habari za majukumu wakuu.

Ninatumia Samsung J7 (2016) ambayo imekuwa ikinisumbua kwa hili tatizo la sreen overlay detected na change permission settings.

Hiki kitu kinanizuia hata kudownload kitu chochote kupitia google na hata apps zingine haziwezi kufunguka kwa sababu itakwambia screen overlay detected and change permissions setting.

Kwaiyo hata raha ya simu saivi siioni mana hili tatizo linakwamisha kila kitu unachotaka kufanya hasa kuweka/kudownload kitu kipya au kufungua document na hata kutumia app unayoipenda. Mbaya zaidi nimetembelea google na youtube kujua linatolewa vipi lakini sijapata mafanikio.

Nimeshindwa kupiga screen shot kwa ajili yenu kwa sababu nayo inagoma kwa iyo ikabidi niwape tu maelezo kwa ujumla juu ya hili tatizo.

Noamba mwenye uelewa na hili tatizo au ambae amekumbana nalo na akaweza kulisolve, basi naomba anisaidie njia ya shortcut ya kulisolve mana mpaka sasa naichukia simu kwa hili tatizo.

Asanteni na mwenye msaada anakaribishwa.
 
Kama umeinstal DU Speed Booster na DU Battery saver uninstall hzo, tatzo litaisha mana hata mm tatzo hilo limenisumbua sana na hyo ndio dawa ilonisaidia.
 
Anza kuondoa apps moja moja ulizoinstall mpaka tatizo liondoke utamjua mchawi.
Kwa kifupi kuna App zinazotumia technolojia ya screen overlay hii inaruhusu App kuelea juu ya zengine hii ndio inasababisha tatizo mfano mzuri ni Messenger ya facebook ambayo utaona icon za watu zinaelea mkiwa mnachat.
 
Habari za majukumu wakuu.

Ninatumia Samsung J7 (2016) ambayo imekuwa ikinisumbua kwa hili tatizo la sreen overlay detected na change permission settings.

Hiki kitu kinanizuia hata kudownload kitu chochote kupitia google na hata apps zingine haziwezi kufunguka kwa sababu itakwambia screen overlay detected and change permissions setting.

Kwaiyo hata raha ya simu saivi siioni mana hili tatizo linakwamisha kila kitu unachotaka kufanya hasa kuweka/kudownload kitu kipya au kufungua document na hata kutumia app unayoipenda. Mbaya zaidi nimetembelea google na youtube kujua linatolewa vipi lakini sijapata mafanikio.

Nimeshindwa kupiga screen shot kwa ajili yenu kwa sababu nayo inagoma kwa iyo ikabidi niwape tu maelezo kwa ujumla juu ya hili tatizo.

Noamba mwenye uelewa na hili tatizo au ambae amekumbana nalo na akaweza kulisolve, basi naomba anisaidie njia ya shortcut ya kulisolve mana mpaka sasa naichukia simu kwa hili tatizo.

Asanteni na mwenye msaada anakaribishwa.
nenda setting then application au apps utaona kialama cha gear kwa juu kibonyeze halafu chagua draw over other apps, zitakuja app zenye hio permission kwa usalama zieke zote off, tatizo likiisha ijaribu moja moja kujua ipi ina tatizo
 
Kuna baadhi ya App lazima zifanye kazi juu ya Apps nyingine hasa unapozitumia mfano fb messenger, sasa unapoiallow kuwa juu, unapoinstall nyingine yenye kitu km hiko, ili kiwe juu inabidi kwanza uzi disallow zote ulizo allow, then allow hyo uliyo install, then ikishakubali zirudie nyingine kuziallow, na mara nyingi tatizo hutokea kwenye permission, so disallow zote, allow hyo inayokataa, fanya permission,

Setting>application >application manager >itafute hyo app >nenda kwenye permission >ruhusu hiyo app kutumia unachotaka kukitumia kwenye simu kupitia hyo app, mfano storage, contacts, microphone, location etc>ukishamaliza ku permit, rudi kulekule kwenye screen ovelay app then ziruhusu zile ambazo ulizi disallow
 
Kama umeinstal DU Speed Booster na DU Battery saver uninstall hzo, tatzo litaisha mana hata mm tatzo hilo limenisumbua sana na hyo ndio dawa ilonisaidia.
Asante sana asee, hii yako imenisaidia na tatizo naona limeisha kabisaa.
 
Back
Top Bottom