stonekj
Member
- Feb 15, 2017
- 17
- 6
Habari za majukumu wakuu.
Ninatumia Samsung J7 (2016) ambayo imekuwa ikinisumbua kwa hili tatizo la sreen overlay detected na change permission settings.
Hiki kitu kinanizuia hata kudownload kitu chochote kupitia google na hata apps zingine haziwezi kufunguka kwa sababu itakwambia screen overlay detected and change permissions setting.
Kwaiyo hata raha ya simu saivi siioni mana hili tatizo linakwamisha kila kitu unachotaka kufanya hasa kuweka/kudownload kitu kipya au kufungua document na hata kutumia app unayoipenda. Mbaya zaidi nimetembelea google na youtube kujua linatolewa vipi lakini sijapata mafanikio.
Nimeshindwa kupiga screen shot kwa ajili yenu kwa sababu nayo inagoma kwa iyo ikabidi niwape tu maelezo kwa ujumla juu ya hili tatizo.
Noamba mwenye uelewa na hili tatizo au ambae amekumbana nalo na akaweza kulisolve, basi naomba anisaidie njia ya shortcut ya kulisolve mana mpaka sasa naichukia simu kwa hili tatizo.
Asanteni na mwenye msaada anakaribishwa.