Hivi kwa akili za kawaida unawezaje kwenda kukopa simu alfu kila siku ulipe shilingi elf 2000k sawa na shilingi laki 700,,000 kwa mwaka
Kasimu Cha laki 150k unaenda kukopa kwa shilingi 720,000 kwa mwaka akili hzo
Lzm utaenda kulala kwa mabwan takribani 4 ili uweze kulipia