Msaada: kuondoa auto subscription

Lusungo

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
27,109
39,285
Wadau naombeni msaada jinsi ya kuondoa auto subscription ktk thread.

Yaani kwasasa nikichangia tu uzi inakua ni kero kwa notifications!! Ninakua subscribed ktk kila uzi nnaochangia nifanye nini kujitoa?
 
Kama unatumia app, nenda settings > push notifications, kisha disable
20201120_000409.jpg

Kama unatumia tovuti, fungua profile page yako, nenda preferances, halafu angalia kama umeweka kama inavoonekana hapa chini

Screenshot_20201120-000750_Chrome.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom