Habari za saa hizi wana-JF.
Naomba msaada kwa yoyote yule anaejua jinsi ya kununua movie online. Naomba mnielekeze ni procedures gani natakiwa kuzifuata ili niweze kununua movie kwenye mtandao? Angalizo:- movie ninazo hitaji ni zile za abroad/hollywood tu. Na sio bongo movie coz najua pa kuzipata.
Asante, nawasilisha.