Msaada kuna noah nyeusi inanifatilia nyuma

Wajulishe marafiki zako wenye urafiki wa kweli taja mtaa uliopo ili wake kwa staili ya kuiblock hiyo Noah nyeusi.
 
Itakuwa no Le Mutuz anataka picha na wewe akaweke instagram toa wasi wasi
 
Wakuu kuna noah nyeusi inanifatilia nyuma toka saa 6
Nifanyeje mwenzenu maaana naogopa kupimwa mkojo
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
weka picha
 
We nyoosha panda juu hadi udsm ua kabisa ule mlima kunja kushoto pasua kwa chini
 
kaipaki lumumba pale,ukifika msalimia mkuu "humprey haraka haraka" watakuacha mapema sana
 
Nenda kapaki area A Maana Hizo nyingine zina mavitu flani halafu anza kuitisha mchango wa ambulance mapema usisahau kutunza receipt waambie wakukatie make huwaga hawachelewi kusema tulimchangia sawa hakikisha vitu hivyo havikosi kabisa NB: taarifu midia mapema waje!!!!! kwenye tukio make wanaokufuatilia ni hawa hawaaaaaaa by: wasiojulikana
 
Wakuu kuna noah nyeusi inanifatilia nyuma toka saa 6
Nifanyeje mwenzenu maaana naogopa kupimwa mkojo
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Acha wake za watu.
 
Back
Top Bottom