Hili Janga liiliwahi nitokea na nililipoti hapa JF,
kwangu mm issue ilikuwa mdogo mtu(kike) anataka niachane na dada ake,
so alikuwa anapata each and everything ninavyo fanya kwa sim,yaaini mail,whatsapp,viber,yahoo na msg plus voice..
Kuna siku nilibadili pass ya Gmail baada ya kushauriwa na wana JF,nilivyo badili to Pass alinitumia sms ilisema hivi(hahhahahaha umebadili pass,chezea it ww),nilitamani nimuuwe.
alikuwa nafanyaye?
Kwanza alikuwa anashirikiana na jamaa wa usalama ambaye alikuwa ubakozi wa Misri Tz
Huyo jamaa anakifaa mfano wa sim,kimetengenezwa japani, lengo la hicho kifaa ni for security issues,maani kinaweza kusensi kama mtu anasilaa akiwa umbali flani,pia kwa ajili ya upelelezi,hicho kifaa ukimpa namba ya mtu yeyote kina vuta inf zote kwa hiyo sim pamoja contact zote sms calender issue nk,hata uwe na sim ya kitochi,
Baada yakuwa na inf zako zote kinakuwa kinasave each and every thing unacho fanya kwa sim,pia sim yako inakuwa ipo kiganjani kwake anweza mcall mtu yeyote amtakae,hata amtukane itaonekan ni ww ndio umefanya hivyo.
Nilijuaje?
Nilihangaika sana na apps za kwa mitandao, hata kuna apps unalipia kama laki 250,kwa mwezi niliitumia,
Hi apps nimeisahau jina ila naweza kukutafutia,ina act kama untvirus,inakutell how inf zako zinavyo populated..
basi tangia hapo jamaa akajua kuwa kunasomething wrong.so nahisi kwa heshima ya kazi yake akaachana na namba zangu.
Akanipa na mbinu kuwa nikitaka nikikomeshi hicho kishem changu ninunue HUWEI P8,hii sim ni baala,
Yule jamaa na shem wangu now nimarafiki sana tu..
So mkuu kama anatumia mbinu hii ww nenda kanunue huawei.
Turn of data sync
Turn off location.
hii ni kwa ajili ya kuzima gps tracker kama imehifadhiwa kwenye simu yako
Turn off background application.
ni zile ambazo zina ji-run pale tu simu yako unapoiwasha.
Hivyo app zinazo track mawasiliano ya watu huwa zipo katika mfumo wa kuji- run automatic.
Nenda kwenye manage app, kisha tizama app in process Hapo utaona app zote zinazofanya kazi kwa wakati huo. kama kuna app inayotrack mawasiliano yako hapo ndipo utakapoiona.
Nenda setting,app,running,then itafute huko utapata pa ku unstallAsante Mkuu nimepata application imesaviwa kama mobile tracker lakini hakuna sehemu naweza uninstall wala kudelete hata nikiforce stop bado inaendelea kurun
Android Device Manager
Smart AppLock
CM Security
Nakutana na hizo application
uNatumia sim gani?Asante Mkuu nimepata application imesaviwa kama mobile tracker lakini hakuna sehemu naweza uninstall wala kudelete hata nikiforce stop bado inaendelea kurun
remove SmartApplock kwenye simu yako kisha uendelee na hatua uliyokuwa umefikiaAsante Mkuu nimepata application imesaviwa kama mobile tracker lakini hakuna sehemu naweza uninstall wala kudelete hata nikiforce stop bado inaendelea kurun
Umefanya nlivyo kuelekeza rubii???Ingekua wewe ungelifanyaje Ndugu??
Niliwahi kudownload application na baada ya kuidownload ilikataa kuunistall lakini baada ya kuhangaika sana nilipata. Kama sikosei nenda kwenye sehemu ya running apps utaiona na hapo itakubali kuiuninstalAsante Mkuu nimepata application imesaviwa kama mobile tracker lakini hakuna sehemu naweza uninstall wala kudelete hata nikiforce stop bado inaendelea kurun
Yeah nilishakutana na kitu kama hicho ilinihangaisha sana lakini kama ulivyosema nilifanikiwa kwa njia hiyo.Nenda setting,app,running,then itafute huko utapata pa ku unstall
Kwa hapo kama ameificha utaiona tu lakini hutaweza kuiunistall maana hakuna option ya kufanya hivyo. Aende kwenye running apps ndio ataweza kuiunistall.settings>app manager> utaona list ya apps zote kwenye simu yako, then click ktk hiyo mobile tracker then uninstall
kama iwefichwa then atafute hidden apps, ndo maana nilimuuliza anatumia simu aina gani lakini yupo kimyaKwa hapo kama ameificha utaiona tu lakini hutaweza kuiunistall maana hakuna option ya kufanya hivyo. Aende kwenye running apps ndio ataweza kuiunistall.