Msaada...Kuna anayepajua nyumbani kwa Loyd Nchunga?

Msaada...Kuna anayepajua nyumbani kwa Loyd Nchunga?

Nchunga anaishi Mbezi Luis eneo la Malamba Mawili mtaa wa sita toka barabara kuu iendayo Morogoro. Nyumba yake haina namba. ila getini kwake kuna bendera ya gamba.
s

"sio kweli,jamaa mkewe ni mwanajeshi,anakaa jkt mgulani mle ndani kwenye nyumba za maafisa wa jeshi,haya Anselm nenda katii kiu yako,kazi ni kwako"
 
quote_icon.png
By Asprin
Hivi yanga si wana klabu ya ngumi?

Kwahiyo kama wanayo?

Ha ha ha.. Sasa ci waiboreshe ili wakacheze Olimpiki London.. Tunataka medali na inaonekana Yanga ina mabondia wazuri.. Watailetea cifa nchi yetu..
 
anakaa kigambon sehemu moja inaitwa kwa mwinyi hamisi
 
Ujinga mtupu, Arsenal ilifungwa 8, ikaja man u ikapigwa 6, tunajua timu nyingine kubwa tu zinafungwa ije kuwa yanga, tena wachezaji wenyewe hawana hata motisha!,
acheni ushabiki wa usiojenga nyie, jenga timu toa vifaa na motisha kisha lalamika kama haitatenda.

Tatizo lako soka la Ulaya limekulevya ndiyo maana unasema haya. Ushabiki wa nyumbani nitofauti kabisa na huo wa Ulaya.

Mimi ni shabiki wa Yanga, nimehuzunika pia kwa kipigo hiki, lakini suala la kwenda kumpopoa Nchunga sikubaliani nalo. Cha msingi ni kutatua mgogoro uliopelekea kipigo hiki kinatokea. Kama suluhisho litakuwa kumtimua Nchunga basi tufuate katiba ya Klabu ya Yanga.
 
yanga siku zote wakiwa na mgogoro wana uwezo wa kuwafunga simba ni zaidi ya mara nne (4) yanga wamewahi kuifunga simba wakiwa na mgogoro mkubwa siyo kama huu wa leo, ugomvi wa leo ni mdogo sana ukilinganiswa na ule wa mpondela na kamati yake ya ufundi hadi na baraza la wazee lakini walipofika siku ya simba tu waliweza kushida goli tatu kwa moja(3-1) sasa hawa yanga hawana jipya simba wameweza kuwafunga timu ngumu za afrika yanga ni nani katika afrika hii asiyeweza kufunga na simba??
kioyu FC=3-0,JKT RUVU 3-0, RUVU SHOOTING 3-0, AL SATIF 3-0, ,hawa WASUDAN 3-0 MORO 3-0 sasa yanga ni nani? wewe kwa akiri yako timamu unaweza ukampanga chuji na okwi ?? hii si balaa ? tusitafuta mchawi simba balaa ni wazuri jamaa wajipanga toka mwanzo. tutengeneze timu kwa sasa siyo marumbano tuu , kagame cup hiyoooo inakuja tutagonga 7 bila yaha mimi yangu ni hayo tu.
 
Mimi huwa napatwa na kichefuchefu sana ninaposoma "utumbo" yaani mtu unajiandikia tu ilimradi umeandika,kibaya zaidi una'bold tena kwa font kubwa...unafikiria hapa wanasoma ma'poyoyo tupu kama wewe,kama huna uhakika na unachotaka kukiandika tafadhali usiandike,huwezi kutunga matokeo wewe na hawara yako kisha ukatutundikia hapa eti Simba ilimfunga Kiyovu 3-0,Ruvu Shooting 3-0,Es Setif 3-0....3-0,3-0 my dick!!
Kwa faida yako nitakukumbusha Mechi na Kiyovu Rwanda Simba ilitoka droo ya 1-1 ugenini na hapa Dar ikashinda 2-1,mechi na Ruvu Shooting Simba ilishinda 1-0,mechi na Setif nyumbani Simba ilishinda 2-0 ugenini ikachapwa 3-1 ikavuka kwa faida ya goli la ugenini,sasa hizo 3-0,3-0 ulizoziandika hapo umezitoa wapi,au kwenye nyimbo ya Juma Nature?
 
Nchunga anaishi Mbezi Luis eneo la Malamba Mawili mtaa wa sita toka barabara kuu iendayo Morogoro. Nyumba yake haina namba. ila getini kwake kuna bendera ya gamba.
Nchunga ni Gamba pure, na aliwekwa pale na Ridh-1 ili kumkomoa Kifukwe ambae inaaminika ni Swahiba wa Mwandosya.

Kumkomoa kifukwe kulitokana na yeye kifukwe kumpigia kampeni za waziwazi Mwandosya wakati wa kura za maoni za kumtafuta mgombea wa Ccm , ndipo Mr. Revenger alipoamua kulipa kisasi thru dogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom