kama umeshafanya booking, utakuwa ulijaza imail yako au namba ya simu, watakutumia reference, ukiwa nayo hiyo basi we ukifika airport office yao wape hiyo reference. watakupa tiket. au unaweza kuiprint tu we mwenyewe kutoka email yako. au ingia ktk web yao utakaza hiyo reference itakuja tiketi yako kisha print.