Msaada kujulishwa kiasi cha fedha kinachohitajika wakati wa maandalizi ya kujifungua

Kwa ushauri wangu ni bora umpeleke hospital ya serikali maana suala la kujifungua ni juhudi za wewe mzazi.
Na huduma zao ni nzuri mno na hamna gharama yoyote .kila LA kheri.
Usiache kumwombea tu
Thnx kw ushauri wako bibie
 
🤣🤣🤣🤣🤣 umeona nafwatiria tu typing errer yako.ushauri wangu hujauona tu..🤣🤣🤣
Cwengne tuna wenge jamn mambo ni meng kichwan kwa hiyo heruf zkijichanganya tunapitanazo tu atunaga time ya kulemba il'mladi ujumbe unafika
 
Ni kwel
Hizi gharama si za mkupuo ila ni gharama za lazima....
Kuanzia unapoanza kufanya maandalizi mpaka siku anayomaliza uzazi, ukichukua kalamu na daftari ujumlishe gharama zatafikia hapo....

Kwa kijana anayejishughulisha wala hatakimbia...
Gharama inayotisha ni ile siku ya kujifungua endapo atatakiwa upasuaji....hapo ni cash hakunaga mkopo...
Ndiyo maana nilimshauri siku ya kumpeleka kujifungua ahakikishe ana laki 5 za kianzia, akijifungua kawaida, basi hiyo laki tano itatumika kwa supu ya mzazi, sabuni, mkaa, nk....
Lakini mahitaji yote ili mzazi atunzike vizuri mwisho wa siki Milioni 1 mpaka 1.5 itaisha..

Sikatai kuna sehemu kutunza mzazi si gharama..
Mzazi anachinjiwa kuku anayelalia, anakaa ndani wiki mbili....kisha anaambiwa apambane na hali iliyopo...

Gharama nilizokadiria ni standard kwa watu wa kipato cha kawaida angalau wastani wa laki 5 kila mwezi.

Kumbuka, mzazi asipotunzwa vizuri anakuja kupata matatizo miaka ya huko baadae hasa hasa kuumwa mgongo.....
Ni kweli ndugu yangu nashukuru kwa kuniongezea maarifa, naomba kuelimishwa pia juu ya hili endapo mwanamke amejifungua kwa Upasuaji kwenye hospitali za serikali vip huwa analipia gharama au ni bure?
 
Inategemea anajifungua hospitali gani na kwa njia gani, kwa private hospital njia ya kawaida andaa milioni mbili na zaidi, naongea kwa uzoefu wangu wa kujifungulia msasani peninsula au agakhan, kwa operation hapo lazima uwe na 3M plus, kwa hospitali za serikali usikose laki mbili+ kwa njia ya kawaida, na kwa operation nadhani laki saba
Dada yangu Mtende samahani nitoe tongotongo juu ya hili, hospitali za umma kwenye masuala ya kujifungua ni gharama?
 
🤣🤣🤣🤣🤣 umeona nafwatiria tu typing errer yako.ushauri wangu hujauona tu..🤣🤣🤣
Super women naomba unisaidie juu ya hili hapo ndugu yetu Mtende amenitisha kuwa ukiingia hospitali za umma kuna gharama kma laki 2 ukijifungua kawaida na kama laki 7 ukipasuliwa, jambo hili likoje?
 
Hapana sio gharama kubwa kama private, ila huduma zo nadhani ni mbovu sana, kama uwezo upo jifunge mkanda
Dada yangu Mtende samahani nitoe tongotongo juu ya hili, hospitali za umma kwenye masuala ya kujifungua ni gharama?
 
Back
Top Bottom