Pua ya zege
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 1,938
- 2,081
Mwenye kujua tafadhaliKuna movie niliangalia miaka mingi kidogo kama 25 iliyopita kuna kijana alimchumbia mwanamke aliyekuwa na uhusiano na baba yake nafikiri yule mchumba wake alikuwa anafanya kazi ofisi ambayo baba yake huyo kijana alikuwa akifanya Sasa mwisho wa siku kuna watu walimlengesha yule kijana bila kujua alienda kufumania lodge ghorofani kwa taharuki Yule kijana alianguka toka juu ya ngazi zaghorofa mpaka ground floor akafa lile sakata likafika kazini kwa yule mzee akafukuzwa kazini tafadhari naomba mwenye kujua title ya hii movie nawasilisha.
Wazungu mkuuNi ya bongo india ama Nigeria?
Ni ya kizungu Sasa huyo takataka ni mzungu!?Wee zombiiii haujuiii Simba LA masimbaaaa dangote
Ndiyo nini?
Hata Mimi niliwahi Iona ila sikumbuki jina lake! Inasikitisha sana yule mzee alipo mwona mtoto kafa alilia sana then yule dada akapita katikati Yao kama ajui chochote akaenda zake!Kuna movie niliangalia miaka mingi kidogo kama 25 iliyopita kuna kijana alimchumbia mwanamke aliyekuwa na uhusiano na baba yake nafikiri yule mchumba wake alikuwa anafanya kazi ofisi ambayo baba yake huyo kijana alikuwa akifanya.
Sasa mwisho wa siku kuna watu walimlengesha yule kijana bila kujua alienda kufumania lodge ghorofani kwa taharuki Yule kijana alianguka toka juu ya ngazi za ghorofa mpaka ground floor akafa, lile sakata likafika kazini kwa yule mzee akafukuzwa kazini tafadhali naomba mwenye kujua title ya hii movie, nawasilisha.
Huyo nimemtag atakusaidia.Ndiyo nini?
Dah ndiyo hiyo hiyo Mkuu mwishoni Yule Mzee alifukuzwa kazi akawaanaishi maisha ya kifukara sana tusaidiane kutafuta ndugu yangu uwenda ukakukumbukaHata Mimi niliwahi Iona ila sikumbuki jina lake! Inasikitisha sana yule mzee alipo mwona mtoto kafa alilia sana then yule dada akapita katikati Yao kama ajui chochote akaenda zake!
Asante mkuuHuyo nimemtag atakusaidia.
Sio hiiAsk AI
Hapana sioKolya
Sio hii
Hata Mimi naitafuta sana hii movieKuna movie niliangalia miaka mingi kidogo kama 25 iliyopita kuna kijana alimchumbia mwanamke aliyekuwa na uhusiano na baba yake nafikiri yule mchumba wake alikuwa anafanya kazi ofisi ambayo baba yake huyo kijana alikuwa akifanya.
Sasa mwisho wa siku kuna watu walimlengesha yule kijana bila kujua alienda kufumania lodge ghorofani kwa taharuki Yule kijana alianguka toka juu ya ngazi za ghorofa mpaka ground floor akafa, yule mzee alishuka chini akiwa uchi kwa kuchanganyikiwa na kulia sana yule dada akapita katikati yao na kusepa lile sakata likafika kazini kwa yule mzee akafukuzwa kazini tafadhali naomba mwenye kujua title ya hii movie, nawasilisha.