Msaada;Kujua Join instructions za mzumbe tutazipatia wapi?

brian360

JF-Expert Member
Mar 14, 2012
224
30
Baada selection ya hiki
chuo kutoka wakatoa Maelekezo
kwamba join instructions zitapatikana kwenye website
yao lakini mpaka sasa hatujaweza
pata kuziona.
Wana jamvi msaada kwenu
kwa mwenye kujua jambo hili
au ile campus ya Dar inaweza kuwa nazo?
 
Back
Top Bottom