zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,229
- 39,782
Duh sasa hujui sera na miongozo huletwa na chama tawala!!! Mfano mikataba mibovu wwe haikuathiri leo hii mnanunua umeme kwa gharama ya juu au wwe haikugusi kisa unafanya kazi??mm siamini kama chama kinaweza kuleta umaskini nasema tena siamini na uchumi mbaya sio wa chama na hauletwi na chama umaskini ni attitude zenu na utayari wa kufanya kazi hamna taifa limepata maendeleo kwa kuwa na watu kila kukicha wanashinda kwenye magenge ya kahawa
Siwezi kukugomea unachoamini..Duh sasa hujui sera na miongozo huletwa na chama tawala!!! Mfano mikataba mibovu wwe haikuathiri leo hii mnanunua umeme kwa gharama ya juu au wwe haikugusi kisa unafanya kazi??
Pesa kuisha kwenye mzunguko haikuathiri hata wwe??
Sera ya uwekezaji na kodi haikuathiri wwe???
Vipaumbele vya kiuchumi haviakuathiri na wwe???
Credit creation na monetary policy kwenye money supply and demand haikuathiri wwe hasa kma ni mfanya biashara unayehitaji mikopo??
Hayo yote yanaamuliwa na chama tawala na hayo yanaweza kuleta maendeleo yakifanywa vzuri na yanaweza kuleta umaskini yakifanywa vibaya
Unaweza ukafanya kazi lakini kma sera na uongozu mbovu upo serikalini work done will be zero...... au unafkiri wakulima ambo ndio 70% ya watanzania hawapigi kazi lakini wakipata mazao hawana wateja mpaka wanaisia kuwapa ngombe wale nyanya je unategemea watapata maendeleo?? Je walimu ambao wanafundisha kwenye mazingira magumu tena chini ya miti na hku wanamalimbikizo ya madeni toka 2009 atapata maendeleo lini???
Usiongee tu general kwa kuwa umezaliwa kwenye bungarrow na sahvi unafanya kazi kweye taasis ya umma ful Air conditioned bas ndio ukaongea kwa kejeli hivyo jua kwamba 70% ya watanzania wanaishi chini ya dolla 2 kwa siku 3 (IMF)
Kwahyo nastick kwa hoja yangu kuwa kuna relationship kubwa kati ya chama tawala a maendeleo ya nchi kwa sababu ya SERA na UONGOZI..... anyway the choice urs
Hawaandiki tena kuhusu twiga alieibiwa.Kwa Chadema sasa kila anayeachia ngazi hata kama ameyafanya maovu kiasi gani akiwa ccm kwao ni shujaa wao.Leo hii mnamwona kinana ni shujaa kweli? Mnamwona Mecky Sadik ni shujaa kweli Chadema mko serious mna nia ya dhati na mnaitakia mema nchi hii?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mwambie aache kujifichaBora wewe umekubali kukatwa mkia.
Poa poa[emoji23] [emoji23] [emoji23] mwambie aache kujificha
Dah sera za uchumi hazipangwi na serikali??? Kuna maamuzi yanafanyika ya kiuchumi bila kuamuliwa na wanasiasa?? Ndege tu si mpaka magufuli aliamua?? Na magufuli kuamua kuzuia pesa kukaa benki za kiraia sio haiaffect sera ya uchumi?? Sijui uchumi wa viwanda na sio kilimo kwanza tena je haiathiri sera ya uchumi wa nchi?? Unasema uwekezaji hakuna wanasiasa ila wataalam je rais akisema wekeni vat kwa watalii je haiathiri sera ya uchumi whether positive or negative??? Mkuu kwani umesomea wapi money and banking je transfer payments za serikali au issue kma treasury bonds za kiserikali zikiongezwa au kupunguzwa haziathiri sera ya uchumi na maamuzi hayo hufanywa na rais ambaye ni mwanasiasa!!!! Au ndulu huwa ana act bila kumuulzi magufuli?? Au umesahau bodi ya TRA ilivyopogwa chini hapo huoni wanasiasa wana impact sera ya uchumi wa nchi???Siwezi kukugomea unachoamini..
Sera za uchumi, mzunguko wa fedha, sera za uwekezaji, sera za kifedha sio za chama ni za nchi husika (Hamna chama kinachotunga sera za fedha za nchi) hapa ni sawa na kusema benki kuu (BOT) inamilikiwa na CCM this is non-sense ..kuna uhusiano wa serikali na chama. kila kitu unachotaka kukizungumzia ni mchakato wa kitaifa sio kichama..bunge linatunga na kupitisha sheria na sera sasa chama kimetoka wapi..ukienda kwenye kituo cha uwekezaji hamna wanachama pale pale kuna watendaji wa serikali
Kwa taifa maskini kama Tanzania ni rahisi kusema chama ni serikali. Pamoja na hayo bado naamini katika CCM na sera zake [sioni uwezo wao wa kisera wa kuivusha hii nchi hawa wa upande wa pili kama mnavyoaminishwa]. Maendeleo ni mchakato its not an overnight dream watawambia miaka mitano inatosha kutoa umaskini wa wawatanzania no no no no na nasema no haiwezekani they are trying to win your vote.
Sisemi CCM kuna malaika bali nachosema wanaunafuu kuliko chadema, cuf na wengine.
Asalam Alekhum
There is a thin line that separate government and political party, only brave can notice that...Dah sera za uchumi hazipangwi na serikali??? Kuna maamuzi yanafanyika ya kiuchumi bila kuamuliwa na wanasiasa?? Ndege tu si mpaka magufuli aliamua?? Na magufuli kuamua kuzuia pesa kukaa benki za kiraia sio haiaffect sera ya uchumi?? Sijui uchumi wa viwanda na sio kilimo kwanza tena je haiathiri sera ya uchumi wa nchi?? Unasema uwekezaji hakuna wanasiasa ila wataalam je rais akisema wekeni vat kwa watalii je haiathiri sera ya uchumi whether positive or negative??? Mkuu kwani umesomea wapi money and banking je transfer payments za serikali au issue kma treasury bonds za kiserikali zikiongezwa au kupunguzwa haziathiri sera ya uchumi na maamuzi hayo hufanywa na rais ambaye ni mwanasiasa!!!! Au ndulu huwa ana act bila kumuulzi magufuli?? Au umesahau bodi ya TRA ilivyopogwa chini hapo huoni wanasiasa wana impact sera ya uchumi wa nchi???
Mkuu whether chadema wana sera au hawana hyo ni debate nyingine ila kwa hapa nakuelemisha kuwa ni ccm imetufikisha hapa tulipo maana sera zote za kiuchumi ziliamuliwa na viongozi wa chama chao rejea ujamaa by nyerere then soko huria by mwinyi ambazo ziliua uchumi wetu kabxa afu msomi kma wwe unadai eti chama hakiwezi kuathiri sera za uchumi na kwamba sababu ya umaskini wetu ni kuwa hatufanyi kazi????
Mmmmh mkuu embu review ur economics naona kma unapotoka kidogo
Ndo uniambie huo mstari ukwapi??? Wakati SERIKALI inatekeleza ilani ya CHAMA CHA MAPINDUZI ???There is a thin line that separate government and political party, only brave can notice that...
Na hili ndio tatizo la Afrika kufikiri shida na umasikini wetu unatokana na vyama vya siasa.Mimi kati ya vitu ninavyodhani sitakaa nifanye mpaka naondoka duniani ni kujiunga , kushabikia au kumpigia kura mtu yeyote mwenye unasaba na ccm. Mimi naamini pasipo shaka kuwa umasikini wa nchii hii, mateso ya watanzania , dhiki kuu tunayopitia kama raia chanzo chake ni ccm. Nchi hii hakuna na hakutakuwa na fisadi kama ccm. Hii ni imani yangu wala sikulazimishi uamini.
HIVI NI LINI CCM ILIJENGA VIWANJA VYOTE VYA MPIRA KILA MKOA NCHINI ? HUU NAO NI UFISADI WA KIHISTORIA
Hizo figure mmmmmh!!!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaweza kutafuna mihogo mibichi ukahisi ni mitamu na unaipenda toka moyoni kumbe kwa sababu ya njaa!
Unataka kuungana na hawa au siyo? Hebu wasikilize...Bora uwe mwanachama wa CCM kuliko kuwa chama cha wenye vurugu. Hata wakisimama majukwaani sera zao ni za chuki chuki tu. Na hapo ndipo ccm wanapowapiga gap.