Msaada kujiunga link ya bitchon

devor

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2017
Posts
1,031
Reaction score
927
Habar Wana jf kwa yeyote mwenye kufaham kuhusu bitchon naomba anitumie link, na ufafanuzi kidogo kwa wenye uelewa wa hii mambo
 
bitcoin inachimbwa kwenye migodi virtual, inataka pc yenye nguvu especially gpu kubwa, kama pc yako ni ya kawaida sahau tu hutapata chochote.
 
Kumine bitcoin kwenye PC yako ni kupoteza muda kwa sasa hivi, unashindana na watu wenye data centres nzima zimejaa GPU zinafanya hiyo kazi, chance zako za kupata chochote ni ndogo sana bora kucheza lottery.

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…