Mzee23
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 1,742
- 3,672
Husemi uongo ndugu yetuUjitoe kwenda wapi? Utuache peke yetu tunaicheza hii ngoma, aàah wapi usitutanie..
Tumeanza pamoja ,tutamaliza pamoja..
Minne tena.....

Husemi uongo ndugu yetuUjitoe kwenda wapi? Utuache peke yetu tunaicheza hii ngoma, aàah wapi usitutanie..
Tumeanza pamoja ,tutamaliza pamoja..
Minne tena.....

Mkuu kwani walifanya nini, mbona mnawaangushia lawama nyingi?Kipindi cha uchaguzi walimu wanajua upuuzi walioufanya,posho imekata sasa ni wakati wa malalamiko
Tatawalaumu kwasababu hamkatoa mchango wowote wakati nyinyi mlikuwa wasimamizi na mawakala wa upande wa bwana mkubwa,,,Mkuu uchaguzi huu huwezi kuwalaumu walimu kabisa