Msaada : kujitoa chama cha walimu Tanzania

CK Allan

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
2,784
Reaction score
6,178
Wadau,
Heri ya mwaka mpya, Bila shaka humu wapo watu mbali mbali,
Naombeni msaada wa kujitoa kwenye hili JINI nyonyaji CWT
Nataka kujitoa kwasababu zifuatazo:

1. Chama hakina msaada wote kwangu zaidi ya kukata %2

2. Mwaka wa 7 huu hakuna daraja wala nyongeza chama lipo tuu.
3. Mapato na matumizi ya miradi ya chama haijulikani
4. Chama haijulikani kinatetea maslahi ya mwajiri au mwanachama.

5. Chama kimeshindwa kutoa majibu ya kueleweka kuhusu madai ya wanachama
 
Chama cha ajabu sana hicho,kinakula hela za bure.
 
Hiyo hoja namba 2 unakionea tu chama cha walimu

mwenye hilo jukumu ni serikali...
 
Wadau,
Heri ya mwaka mpya, Bila shaka humu wapo watu mbali mbali,
Naombeni msaada wa kujitoa kwenye hili JINI nyonyaji CWT
Nataka kujitoa kwasababu zifuatazo:

1. Chama hakina msaada wote kwangu zaidi ya kukata %2

2. Mwaka wa 7 huu hakuna daraja wala nyongeza chama lipo tuu.
3. Mapato na matumizi ya miradi ya chama haijulikani
4. Chama haijulikani kinatetea maslahi ya mwajiri au mwanachama.

5. Chama kimeshindwa kutoa majibu ya kueleweka kuhusu madai ya wanachama
Siyo nyie kwenye uchaguzi mlikuwa upande wa bwana Mkubwa,,
Mbona hamkuwa upande wa wananchi,,tunawachora tu,, mmesahau posho za uchaguzi, mmekula zimeisha,,
Baba minne tena-------
 
Msipojitambua mtanyonywa sana walimu. Kitu pekee waafrica tunawezakukifanya ni kunyanyasa na kunyonya wengine. Hatuna uwezo wa kuboresha mambo . Kwani nasema uongo ndugu zangu?

Unganeni , pazeni sauti - sheria kandamizi hizo mzibadiri . Hafu huwa nashangaa miaka yote mnalia na unyonyaji huu ila nothing changes
Huwa mnakwama wapi ?
 
Back
Top Bottom