Msaada kujaza Questinaire kwa email

dtj

JF-Expert Member
Nov 29, 2014
1,332
1,375
Habari wakuu, Mniwie radhi Heading nimeshindwa kuisahihisha naomba isomeke ( Msaada wa kujaza questionnaire kwa Email) Asanteni
Kuna ka mini research hapa nakafanya kwa ajili ya kujaza Course work yangu. Mini research yenyewe inalenga kuangalia watumiaji wa Jamii forum wanapenda nini hasa katika mtandao huu au kwa maana nyingine Consumers preference. Kama uko tayari kunisaidia tafahdali niwekee email yako hapa then ntakutumia deadline ni jumatatu ya Tarehe 6 june 2016.
Natanguliza Shukrani.
 
Mkuu, your initiative is good. But kama unavyojua hapa tunapenda kumaintain anonymity mambo ya kutumiana email sio mazuri. Cha muhimu wewe weka hapa questionnaire yako na sisi tutaidownload na kukutumia PM baada ya kuijaza. Mbona JF inajitosheleza na sidhani kama email inahitajika?
 
Back
Top Bottom