Msaada Kuiunlock ideos

utakuja

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
990
800
Habari za jioni/usiku wakuu Nilinunua simu ya Android ya ideos mda kidogo hapa Dar nimeshaifanyia kila aina ya customization rooting, roming kila kitu now naombeni msaada kidogo wakunieleza sehemu gani hapa Dar naweza Kuiunlock Ideos na bei yake maana naona mtandao wa tigo aufai Hsdpa speed napata 0.02mbps na aipandi huu siujinga bora nikapande basi letu lekundu la airtel ..
 
mkuu ideos unaiunlock wee mwenyewe mkononi mwako
Unachotakiwa kufanya. Zima simu yako ikishazima kabisa hold home button+up button then power button screan ikiwaka release up button then itatokea option za kuiformat nadhani mpaka hapo utaweza kuendelea kwa kufuata maelekezo kwenye screen yako.
CAUTION
It deleats all of ur data
 
option ya kuformat ikishatokea ndo unaweza kurelease home and power buttuns
 
Mkuu Kuformat kweli inatoa network lock ya tigo. maana maana nikiwa naistall custom Rom naformat system nzima mara kibao lakini lock inabaki siwezi kuweka line tofauti zaidi ya tigo
 
Hapa naona wanotoa help wengi wao hawana hizo simu,wana Google hiyo problem then wanaleta solutions hapa.Nani mwenye hiyo simu ambaye amefanikiwa ku unlock ataje hapa?Mimi mwenyewe nimetoka kuibadilishia ROM lakini lovk bado iPO!!!
---Believdat---
 
Hapa naona wanaotoa help wengi wao hawana hizo simu,wana Google hiyo problem then wanaleta solutions hapa.Nani mwenye hiyo simu ambaye amefanikiwa ku unlock ataje hapa?Mimi mwenyewe nimetoka kuibadilishia ROM lakini lock bado iPO!!!

kweli naona ...simu hii ni nzuri Tatizo mtandao nilio banwa nao njia za online za ku unlock kama DC unlocker expensive na credit card sina
 
xor jaman ! me nna mpango wa kununua hyo ideos naomben kujua k2 unique kwny hyo 4n
 
xor jaman ! me nna mpango wa kununua hyo ideos naomben kujua k2 unique kwny hyo 4n

kitu unique kwa hii simu naweza kusema ni bei yake ya chini kuliko android phones nyingi in the market ..ina fast internet (tigo wakiachaga upumbavu wao wakubana speed ) unaeza uitumie kama wifi hotspot so unaweza kusambaza internet kwenye device tofauti kama Ps3,laptop, iPod, zune chochote chenye wifi compatibility. na ukiiroot na ukaanza utundu unaeza update hii simu to the latest version of android 2.3.7 na android 4.2...Tatizo lake kuu ni battery ukitumia 3g throughout charge inaisha baada ya masaa 5-6 na pia game kubwa kama asphalt6, azikubali
 
Huwezi ku unlock idios mwenyewe,kariakoo wa unlock kwa sh 25,000.
 
Kama unatokea kkoo kuelekea round. About. Ya. Shule ya uhuru barabara ya mwisho upande wa kulia. Ulizia utaonyechwa au kama unataka no ya simu ya mtu aliye unlock yangu nitakupa.
 
Kama unatokea kkoo kuelekea round. About. Ya. Shule ya uhuru barabara ya mwisho upande wa kulia. Ulizia utaonyechwa au kama unataka no ya simu ya mtu aliye unlock yangu nitakupa.

Kweli number itatusaidia ...na unlocking process inaffect chochote kama labda data kufutika??
 
Kitu kitakacho futika ni ulivyo down load kwenye simu.Kila kitu kilicho kuja na simu pamoja na contacts zitakuwepo.
 
...kwa arusha naweza pata wapi watu wanaofanya kazi ya ku unloack wakubwa?
 
kitu unique kwa hii simu naweza kusema ni bei yake ya chini kuliko android phones nyingi in the market ..ina fast internet (tigo wakiachaga upumbavu wao wakubana speed ) unaeza uitumie kama wifi hotspot so unaweza kusambaza internet kwenye device tofauti kama Ps3,laptop, iPod, zune chochote chenye wifi compatibility. na ukiiroot na ukaanza utundu unaeza update hii simu to the latest version of android 2.3.7 na android 4.2...Tatizo lake kuu ni battery ukitumia 3g throughout charge inaisha baada ya masaa 5-6 na pia game kubwa kama asphalt6, azikubali

Mkuu ww hyo unayosema ideos ipi inaweza kwenda 4.2???? Kama ni hii nnayoijua mm ya laki na 20 tigo shop utakua umedandanya maana kupata 2.3 tu ni kasheshe na haiwez pata 4.2 coz haina vigezo... Mfano mzur ram yake ni chin ya 512 na processor yake pia dah yaki zaman mnooo
huawei-u8150ideos-front.jpg
 
Back
Top Bottom