Msaada kuinstall windows 11 kwenye Microsoft Surface Laptop

Msaada kuinstall windows 11 kwenye Microsoft Surface Laptop

stephot

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Posts
17,746
Reaction score
27,214
Nimekwama wadau,kama kichwa cha habari kinavyoeleza,lengo langu ni kuweka windows 11 version 23H2,nimefuata taratibu zote za jinsi ya kuinstall windows 11 kwenye laptop yangu ya Microsoft Surface lakini kila nikifika hatua ya mwisho inarudia window iliopo ambayo ni 11 version 24H2...
 
Jaribu labda ku Extended Windows 11 Installation (no TPM / no Secure Boot).

Lakini hizi Microsoft surface zinakuja na limitations, hazitaki windows za zamani
 
Nimekwama wadau,kama kichwa cha jabari kinavyoeleza,lengo langu ni kuweka windows 11 version 23H2,nimefuata taratibu zote za jinsi ya kuinstall windows 11 kwenye laptop yangu ya Microsoft Surface lakini kila nikifika hatua ya mwisho inarudia window iliopo ambayo ni 11 version 24H2...
Mbona kama una Downgrade version?
 
Ndio,kuna apps zinakataa kufanya kazi kwenye hiyo version ndio maana nataka niichomoe...
Mara nyingi ku downgrade inabidi ufanye clean installation, format kwanza existing windows then ndio uweke windows ya zamani. So kama una mambo muhimu itabidi ufanye backup.
 
Mara nyingi ku downgrade inabidi ufanye clean installation, format kwanza existing windows then ndio uweke windows ya zamani. So kama una mambo muhimu itabidi ufanye backup.
Ok thanks,ngoja nipambane...
 
Kurudi nyuma kutakusumbua bora utatue tatizo la hizo app zinazogoma au fanya update ya hizo app kama zipo.
 
Back
Top Bottom