Msaada kuinstall custom ROM

Msaada kuinstall custom ROM

Baba Rhobi

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2020
Posts
1,798
Reaction score
3,257
Kama title inavojieleza, nahitaji kuinstall custom rom kwenye kimeo changu sony xperia z3 compact, specifically rom yenyewe ni Lineage Os.
Changamoto ni moja hii simu bootloader yake ni unlockable, sasa je naweza fanikiwa kweli.

Tayari nimesha iroot na nimeinstall TWRP.

Msaada bandugu

Chief-Mkwawa
Root
Am ready to take any risk.
 
Umewezaje kuroot na kuweka twrp hali ya kuwa bootloader ipo locked? Kuna exploit yoyote?

Na ni z3 compact ipi? Haya mambo ya ataka full model.
 
Na ni z3 compact ipi? Haya mambo ya ataka full

Umewezaje kuroot na kuweka twrp hali ya kuwa bootloader ipo locked? Kuna exploit yoyote?

Na ni z3 compact ipi? Haya mambo ya ataka full model.
Nilipitia hii thread huko xda ndo nikafanikisha sasa sijajua kama nikitumia TWRP kuflash hio rom while bootloader iko locked itakubari make mi sio mjuzi sana kwenye haya mambo,
 
Mpaka hapo ulipofika mkuu maana yake umeshafanikiwa kwa 50% kuweka rom sasa ni kujua je hiyo simu inapata support toka lineage os? Kama inapata basi unaweza weka hiyo os ila fanya clean install isije bootloop
 
Ndio mkuu ipo kabisa yani tena 17.1 kama sijakosea.
 
Mkuu shusha nondo sasa, nasubiri hapa.
 
Sasa kama umesharoot na twrp unayo pakua hiyo rom kisha kabla ya kuflash, backup stock rom kwa twrp kisha wipe system ndo uflash rom yako

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Ndio mkuu ipo kabisa yani tena 17.1 kama sijakosea.
Basi unaweza flash, ila hakikisha ni inaendana na hardware ya simu yako maana makampuni yanaweza toa model moja ya simu yenye hardware mbalimbali mfano mzuri ni samsung wana exynos na Qualcomm. Leta model ya simu yako tuone tunakushaurije
 
Ni sony xperia z3 compact D5803.
 
Specifications zake hizo hapo chini
Screenshot_20210326-131937.png
 
piga hii namba
##7378423## nenda service info, kisha configuration kisha root status angalia status ya bootloader. kama ipo on ama yes.
Status inasema huwezi unlock bootloader ndo maana nikauliza je naweza install custom rom while bootloader iko locked....!?.
Kwasababu pale wameandika huwezi unlock ila nika jaribisha kwa kutumia flashtool lakini holla. Nikajaribu pia ku unlock kwa kutumia miracle thunder napo holla mkuu.
 
Iyo hapo mkuu unlock bootloader :NoView attachment 1734897
Nimeangalia kuna Rom maalum ambazo zimekuwa specified kabisa kwa Simu yako yenye locked bootloader, hivyo kuwa makini usi brick simu yako, research hio rom husika unayotaka kuweka.

Unaweza Angalia hapo Alivyokuwa specific.
 
Basi unaweza flash, ila hakikisha ni inaendana na hardware ya simu yako maana makampuni yanaweza toa model moja ya simu yenye hardware mbalimbali mfano mzuri ni samsung wana exynos na Qualcomm. Leta model ya simu yako tuone tunakushauri

Nimeangalia kuna Rom maalum ambazo zimekuwa specified kabisa kwa Simu yako yenye locked bootloader, hivyo kuwa makini usi brick simu yako, research hio rom husika unayotaka kuweka.

Unaweza Angalia hapo Alivyokuwa specific.
Ngoja nicheki hii thread kidogo wenda nkapata abc, shukrani sana.
 
Nimeangalia kuna Rom maalum ambazo zimekuwa specified kabisa kwa Simu yako yenye locked bootloader, hivyo kuwa makini usi brick simu yako, research hio rom husika unayotaka kuweka.

Unaweza Angalia hapo Alivyokuwa specific.
Mkuu nimeipenda kwa kweli, ngoja nifanye chap, mambo yawe sawa, waweza nipa mwongozo namna ya kuweka rom kwa kutumia hiyo twrp make mi newb huko
 
Yani ukifika stage mpaka Una twrp unaweka tu rom kwenye internal storage Kisha unaenda kwenye twrp unachagua install from zip Kisha unachagua rom na kuflash.

Hakikisha pia kabla hujaboot unclear data na cache kuondoa conflicts na rom iliopita.

Ila ukikosea rom inaingia kwenye bootloop inazima na kuwaka muda wote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom