Msaada kuhusu Wise Transfer (wise)

Msaada kuhusu Wise Transfer (wise)

kcamp

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Posts
8,526
Reaction score
8,033
Habari wakuu,naomba kufahamu kama wise wana huduma ya M-PESA hapa Tanzania,pili kama hawana basi napenda kujua card gani inapokea haraka bila kuchelewa.
Nawasilisha wakuu.

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Hawana mpesa ila kama unamtumia mtu wa kenya inaingia safaricom. Ukihamishia bank kama crdb kama ni week days ukihamisha leo saa za kaz za US, kesho saa 11 utaipokea.
 
Shukrani mkuu nimepata mwanga sasa.

Back
Top Bottom