Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
wanajamvi ! napata tatizo kila ninapo connect na wifi inaniambia limite(no internet access) ipi ni solution katika tatizo hilo. maana net ya hapa nilipo ni bure na wenzangu wanafaidi tu.. natanguliza shukrani