Msaada kuhusu WhatsApp!!

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,885
Reaction score
29,674
Habari wakuu,.

Naomba msaada wenu, kama ninaweza kuwa offline katika groups za WhatsApp pasipo kujitoa moja kwa moja.

Kama nitakapotaka kurudi niweze kufanya hivyo bila msaada wa Administrator.

Natanguliza Shukrani.
 
Unachoweza kufanya hapo ni "ku-mute" for 1 week (Whatsapp ya kawaida) au mute forever (WhatsApp Plus-Android).. Otherwise, uwasiliane na group admin bro...
 
Habari wakuu,.

Naomba msaada wenu, kama ninaweza kuwa offline katika groups za WhatsApp pasipo kujitoa moja kwa moja.

Kama nitakapotaka kurudi niweze kufanya hivyo bila msaada wa Administrator.

Natanguliza Shukrani.

Wakati tunasubiri michango ya wadau fanya hivi.
>> Fungua group husika, touch MENU , touch MUTE kisha chagua muda unaotaka kuweka.
 

Attachments

  • 1403952175589.jpg
    26.4 KB · Views: 364
Wakati tunasubiri michango ya wadau fanya hivi.
>> Fungua group husika, touch MENU , touch MUTE kisha chagua muda unaotaka kuweka.

Mkuu vipi kuhusu Notifications? Bado zitaendelea kuingia?
 
Mkuu vipi kuhusu Notifications? Bado zitaendelea kuingia?

Angalia vyema hiyo picha, ondoa tick hapo kwenye show notification, ukifanya hivyo hata notification hutoziona.
 
Jamani mimi whatsapp haijakubali ktk p.c nmedownload bluestack na youwave lakini imeshndkana, natumia dell window 7 64bt
 
Jamani mimi whatsapp haijakubali ktk p.c nmedownload bluestack na youwave lakini imeshndkana, natumia dell window 7 64bt

Sasa mkuu..wakati una install bluestack hakuna error yeyote iliyojitokeza?
Ikiwa uliapata error flani..huwa mara nyingi inaleta error inayohusu uwezo wa graphics ya Pc...chakufanya kama graphics ndio shida nenda device manager alf locate Display adapter..then upadte driver ya display adapter utakayo ikuta..ikiwa updated nenda ka install upya bluestack.
 

ATafute virtual box naona iko easy kutumia na adownload na hii http://liliputing.com/2014/02/android-x86-4-4-release-candidate-run-kitkat-pc.html
 
ahsante kaka, ngoja nijaribu sasa hivi ntakupa feedback
 
ahsante kaka ngoja niidownload ila virtual box ndo nini???
 
sijapata error yoyote na ukidownload inamalzka, ila ukiifungua ina stack
 
Wakati tunasubiri michango ya wadau fanya hivi.
>> Fungua group husika, touch MENU , touch MUTE kisha chagua muda unaotaka kuweka.

Mbona sioni hizo option kwenye iphone... au ni kwa Android phones pekee.?
 
mi tatizo langu kila nikiingia kwenye account ya whatsapp nakutana na maandishi haya baking up messages wait a moment nimesubiri nimechoka msaada nafanyaje natumia techno m3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…