Msaada kuhusu whatsapp

Msaada kuhusu whatsapp

Brainiac

Senior Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
165
Reaction score
13
Je simu ya SAMSUNG E2222 inaweza ku-
support whatsapp application? Na kama
inaweza, ni website gani nitaipata hiyo
Application?
 
Simu haikubali.
Kuna jamaa yangu anayo lakini iligoma
Whatsapp ni vema kama utapata simu nyingine
lakini kwanza ukijuwa itakubali.
 
Back
Top Bottom