Msaada kuhusu Volkswagen

Baba Jazey

JF-Expert Member
Apr 14, 2016
500
555
NOmbeni kujua juu ya aina hizi za volkswagen
Volkswagen polo mwaka 2002 na volkswagen golf mwaka 2001 juu ya mambo yafuatayo
.ulaji wa mafuta(1l/km
.upatikanaji wa vipuli
.uimara kwa barabara zetu
.bei yake, je kwa 10m unapata?

Wadau ushauri wenu ni muhimu sana kwan utakuwa na msaada mkubwa kwangu
 
Hio ni vw polo 9N. Spare kibao,very cheap to maintain. Nunua ya 1.4 petrol. Very economical,very strong as long as you do proper service.
 
PRONDO nashukuru sana kwa mawazo yako, vp inakula 1l kwa km ngap?
 
NOmbeni kujua juu ya aina hizi za volkswagen
Volkswagen polo mwaka 2002 na volkswagen golf mwaka 2001 juu ya mambo yafuatayo
.ulaji wa mafuta(1l/km
.upatikanaji wa vipuli
.uimara kwa barabara zetu
.bei yake, je kwa 10m unapata?

Wadau ushauri wenu ni muhimu sana kwan utakuwa na msaada mkubwa kwangu
Nna uzoefu na golf 2001, Inakula km 11/Ltr, vipuli vinapatikana Dar, Arusha na sometym unaweza kuagiza kutoka south africa, Kwa barabara zetu zinahitaji umakini sana hasa unapokua rough road au rami afu ukute mtu kaacha/ katupa jiwe barabarani ni rahisi sana kupasua sample (sample zake ni aluminium), Service zake fanya kwa wataalamu hasa kwenye kubadili gearbox oil au engine oil. Kwa hiyo price unaweza kupata kwa mtu ila kuagiza kodi ipo juu labda min 13mil. Ni gari nzuri zipo comfortable, imara, speed hadi 260KPH.
 
Nasiki zinasumbua sana kwenye gearbox,nikweli mkuu?? Hii gari huwa naipenda sana,na milango yake mizito hatar,kwa upande wa sample umetisha kidogo,maana mimi mazingira nayoishi nazan haitodumu kwakweli,lkn naipenda sana
 
Gearbox haijawahi nisumbua, tatizo watu wanabadili oil tofauti na inayotakiwa. Sijawahi alibikiwa na kitu chochote serious huu mwaka wa nne toka nianze kutumia. Si gari rafiki kama unaishi maeneo yenye barabara za mawe sababu ziko chini sana ila kwenye bodi ni nzito sana huwezi kulinganisha na magari kama toyota. Kikubwa ukipasua sample itamwaga oil yote afu itakuandikia stop kwenye dashboard, usiendeeshe ukigundua umepasua sample.
 
Nna uzoefu na golf 2001, Inakula km 11/Ltr, vipuli vinapatikana Dar, Arusha na sometym unaweza kuagiza kutoka south africa, Kwa barabara zetu zinahitaji umakini sana hasa unapokua rough road au rami afu ukute mtu kaacha/ katupa jiwe barabarani ni rahisi sana kupasua sample (sample zake ni aluminium), Service zake fanya kwa wataalamu hasa kwenye kubadili gearbox oil au engine oil. Kwa hiyo price unaweza kupata kwa mtu ila kuagiza kodi ipo juu labda min 13mil. Ni gari nzuri zipo comfortable, imara, speed hadi 260KPH.
Mkuu nashukuru sana kwa mchango wako mzur
 
Chuku Golf MK 4 - kitu cha 1.8L au 2.0L, AU GTI manual. Spea kibao mafundi kibao. Mimi nina 1.8. Changamoto ni sampo kuwa chini ila sikuizi mafundi wanakuchongea kava la chuma inavalishwa chini kuziba sampo.
 
Aksante mkuu
 
Back
Top Bottom