Msaada kuhusu vitambulisho vya taifa wakuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kuhusu vitambulisho vya taifa wakuu

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by NALO LITAPITA, Aug 25, 2012.

 1. N

  NALO LITAPITA JF-Expert Member

  #1
  Aug 25, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Naomba kujuzwa ni details gani hasa zinaandikwa kwenye kitambulisho cha taifa?. Makarani wa sensa ambao kimsingi ndio makarani watakao andaa orodha ya wakazi wa mtaa orodha itakayotumika kuandaa vitamb ulisho vya taifa katika semina wameelekezwa kuandika jina la mtu, umri.elimu yake pamoja na tarehe al;iyoingia mtaani swali langu je kwenye kitambulisho ni information gani hasa zitawekwa?msaada wakuu
   
 2. M

  Mbofu JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 228
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Si usubiri unahalaka gani?
   
 3. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Kama wewe ni jambazi ,umewahi kuuwa,kuiba ,kubaka au kufanya uhalifu sehemu yeyote siku zilizopita ,basi usiende kuandikisha vitambulisho. Na uhame Tz kwani vikishakamilika,polisi au vyombo vya sheria vinaweza kuvamia sehemu yeyote ile na kudai vitambulisho hivyo vya National identity kama huna ni kosa.
   
 4. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #4
  Aug 25, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Anataka kuchakachua taarifa, pengine ni mhalifu
   
 5. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #5
  Aug 25, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,142
  Likes Received: 2,177
  Trophy Points: 280
  Tena kosa unaweza kufukuzwa Nchini kwani utakuwa umepoteza Utanzania wako... Tetesi inasemekana marekani wamejitolea kuwachukua wale wasio na Vitambulisho vya uraia na kuwapa wao
   
 6. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #6
  Aug 25, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu sasa wewe unataka kuleta vurugu!Unaweza ukafanya asilimia 90 ya watanzania wasijiandikishe kupata vitambulisho wakitegemea kuchukuliwa na Marekani wakale kuku kwa mrija!
   
 7. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #7
  Aug 25, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,637
  Likes Received: 2,064
  Trophy Points: 280
  Ana uzoefu wa kupiga DESA kuanzia primary, O level, A level mpaka chuo na sasa anataka kupiga desa mpaka uraiani na kwenye vitambulisho vya Taifa ili achakachue baadhi ya information asizitoe
   
 8. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #8
  Aug 25, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Tulia wewe, kila jambo na wakati wake. Muda ukifika utafahamu tu mbona haraka hivyo?
   
Loading...