Tamthilia ulizozitaja hapo juu zinapatikana kupitia DSTV, kwenye kifurushi cha bomba 19,000.Pamoja na Tamthilia nyingine nyingi.
Bei ya DSTV full set ni Tsh 99,000 ufundi 20,000. Unapata kifurushi cha Family 29,000 mwezi mmoja bure.
Kazi kwako Mkuu Kaluluma
Nashukuru kwa kunifahamisha mkuuUmesha chagua DStv tayari kwa hayo mahitaji yako. Na kifurushi hicho Ni 19k tu , utapata pia katuni za kutosha,
Kama kipato chako cha chini achana na DStv kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh Yan 99000 + ufundi 20000 ...c Bora kusubiria msimu wa sikukuu kwa ( 79000 na ufundi pia)Tamthilia ulizozitaja hapo juu zinapatikana kupitia DSTV, kwenye kifurushi cha bomba 19,000.Pamoja na Tamthilia nyingine nyingi.
Bei ya DSTV full set ni Tsh 99,000 ufundi 20,000. Unapata kifurushi cha Family 29,000 mwezi mmoja bure.
Kazi kwako Mkuu Kaluluma