Wadau pole na kazi,
naomba kufahamu kuhusu ili.
kuna jamaa ana mke wa ndoa na mtoto mmoja.hivi karibuni amebadili tabia na kusema chanzo ni kugundua kuwa mtoto si wake baada ya kupima.cha ajabu hana document yoyote kutoka kwa mkemia wala alikopimia.suala anamwambia mkewe tu bila msisitizo wa kuitisha vikao vya ndugu wala talaka.na mke anasema ana uhakika 100%mtoto ni wa jamaa na yuko tayari wakapime kwa pamoja lakini jamaa ataki.je mwamamke anaweza kuchukua hatua gani kwani hii ni embalacement kwake.na mtoto anakosa haki yake.ukipima DNA upewi document?