Msaada kuhusu vifurushi vya airtel vya chuo

Wilhelm Johnny

JF-Expert Member
Jan 13, 2016
1,364
1,315
Wakuu naombeni msaada kabla sijasajili hii laini ya chuo ya airtel nilikua nahitaji kujua vifurushi vya internet wiki na mwezi ni bei gani na napata MB ngap.........??
 
* Next

Send:*149*99#

Receive:Karibu Airtel!


1 HATUPIMI-MPYA
2 Ofa Maalum
3 Yatosha Mitandao Yote
4 Yatosha Airtel-Airtel
5 Yatosha Intaneti
6 Yatosha Kimataifa
7 English


Send:5

Receive:Yatosha Intaneti! Facebooka BURE bila salio wala MB


1.Chagua Bando
2.Mnunulie rafiki
3.Facebooka BURE
4.Salio
5.Badili lugha

Send:1

Receive:Chagua


1.Yatosha Intaneti bando
2.Airtel TV bando
3.Safari Intaneti Bundle (Roaming)
4.Bando za muda mrefu

Send:4

Receive:Chagua:


1.Bando ya Miezi 3 Bilakikomo
2.Mnunulie rafiki

Send:1

Receive:chagua:


1.Bilakikomo GB 100 kwa Sh 200,000
2.Bilakikomo GB 200 kwa Sh 350,000
 
week.png
 
Mkuu hakuna laini ya chuo ya Airtel ni laini yoyote tu ya airtel unakula mavituz ya wanachuo tena kitaa na kwa mtu yeyote!
 
Kile kifurushi cha 10GB kwa 600/= bado kipo kuna trick ya kukipata hebu fanya hivi weka pesa kwa AIRTEL MONEY account yako hata buku hivi then tuma tsh 600/= kwa hii No. 0785566273 utaona jina FRANK LUGANO usiogope huyu jamaa ni balozi wa airtel wa chuo kikuu cha UDOM baada ya muamala wako kukamilika just ni dk.0 tu anakutumia SMS yenye jina lako kamili ulilosajiria laini yako ya Airtel ya kukushukuru then kama sekunde kadhaa hivi anatuma SMS yenye namba za UNI na maelezo jinsi ya ya kuzijaza kwa maana sio za kujaza tu kama vocha zingne kwa mnaotumia hizi vocha za UNI nadhani mtakua mnajua ambavyo huwa tunajaza unapiga *149*94* namba za hiyo then # unapata 10GB zako tu kwa siku 3 kuanzia saa 5 usiku mpaka majogoo spidi ya fastje,Na hii huduma ananunua mtu yeyote yule mwenye laini ya airtel kwa kufuata procedures nilizokupeni hapo juu haijalishi ni mwana chuo au mtu wa kitaa ni kwa wotee.Vivyohivyo kwa vifurushi vya 1000/=,1500/= na 6000/=

TRUST ME GUYS WORRY OUT IT IS ABSOLUTELY LEGAL TRICK!

Me nimekua nikitumia sana kwa muda mrefu najilia vyangu tu kuanzia saa 5 usiku nikijiunga na kama utapata tatizo au umekwama mahala flani usisite niulize nakuelekeza vizuri.
 
unajiungaje
Mkuu soma maelekezo yapo juu nmeweka jinsi ya kujiunga kwa mfano wa zile 10GB kwa 600/= ndio hvyo hvyo kwa kifurushi cha 1000/=,1500/= na cha 6000/= pia tuma pesa kwa jamaa na atakutumia namba za vocha za UNI na jinsi ya kujiunga atakupa maelekezo pia.
 
Wakuu naombeni msaada kabla sijasajili hii laini ya chuo ya airtel nilikua nahitaji kujua vifurushi vya internet wiki na mwezi ni bei gani na napata MB ngap.........??
Airtel hawana laini za chuo, bali wana vocha za uni...au vocha za chuo

Na hizi zinapatikana maeneo yote ya chuo....

Tembelea chuo chochote kilicho karibu nawe utapata.

Kuna za siku tatu,wiki,mwezi...
kujiunga ni *149*vocha namba*94#ok....

Hata hivyo jinsi ya kujiunga imeandikwa kune vocha...
 
Mliofanikiwa kujiunga vifurushi vya chuo vya airtel kupitia huyo jamaa wa 0785 566 273 tupeni mrejesho
 
Back
Top Bottom