Msaada kuhusu vibali vya mkaa

Adimu

JF-Expert Member
Aug 22, 2013
655
284
Habari za wakati huu wanafamilia wa JF,

Naomba muongozo mwenye kufahamu juu ya vibali na taratibu za kufuata pindi mtu anapotaka kufanya biashara ya kusafirisha mkaa kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine, (Morogoro to Dar es Salaam) pia na changamoto za biashara hii kwa wale wajuzi wa hii biashara tusaidiane.
 
Back
Top Bottom