Msaada kuhusu ushuru TRA

Scolari

JF-Expert Member
Aug 25, 2017
984
1,000
Je hiyo amount iliyowekwa hapo ambayo imeeleza kuhusu clearing na forwarding ni tofauti na ile ya TRA? Maana yake ukitoka hapo ndio unaenda TRA tena?

Mungu tusaidie sisi watanzania wenye ndoto za kumiliki magari.

IMG_20210527_101142.jpg

 

Prodigy Oligarchy

JF-Expert Member
Mar 21, 2020
507
500
Hizo ni gharama za manunuzi hadi kuifikisha hapa. Option ya clearing and forwarding ni kwaajili ya kukutolea gari lako bandarini ukishalipia ushuru na gharama zinginezo za bandari.

Ushuru wa hiyo gari ni

Tzs 41,379,000/=
 

Scolari

JF-Expert Member
Aug 25, 2017
984
1,000
Ni sawa na Mtu anaetaka kuanza kujenga nyumba yake ya Kwanza halafu anaulizia ramani ya ikulu ili ajenge Kama Ile.
Swala ni pesa na sio haya mawazo yako unayoyasema

Kwani ukitaka kununua gari kuna grade kwamba lazima uanze na kama hako ka bebi wolka unakokawaza?
 

Joowzey

JF-Expert Member
Nov 13, 2015
13,179
2,000
Swala ni pesa na sio haya mawazo yako unayoyasema

Kwani ukitaka kununua gari kuna grade kwamba lazima uanze na kama hako ka bebi wolka unakokawaza?
Sawa anza na hyo Rav 4 adventure iko poa Sana..hutojutia pesa yako mzee
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom