msaada kuhusu UAUT kigamboni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada kuhusu UAUT kigamboni

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Sauli, Aug 24, 2012.

 1. Sauli

  Sauli JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 235
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  aise UAUT ni United African Universty of Tz, kipya kinafunguliwa pale kigambon chin ya raman mpya ya kgamboni, kinasimamiwa na wakorea, sasa jaman nani anajua chochote kuhusu hiki chuo na anayeenda tujuane bana! Ahsanten
   
 2. Sauli

  Sauli JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 235
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  jaman nisaidieni
   
 3. Sauli

  Sauli JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 235
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  duh? Hamuon ths post?
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Uko mwenyewe 2 kaka!
   
 5. C

  Changamoto2015 JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 1, 2012
  Messages: 759
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Yaani unashindwa kutumia google search engine kupata taarifa za hiki chuo? Mbona wana website yao tayari?
   
 6. m

  mdunya JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 7, 2012
  Messages: 765
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  uaut.ac.tz
   
 7. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
  Hao ni baadhi ya maprofesa wakorea waanzilishi wa chuo hicho. Kwa kifupo watakuwa wanafundisha kozi nyingi tofauti tofauti, ni chuo kinachotaratiwa kuwa na mvuto wa kipekee kwani taekondo na judo zitafundishwa.
   
 8. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
 9. Luno G

  Luno G JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2012
  Joined: Sep 22, 2012
  Messages: 1,883
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  nishawi kukisikia hiki chuo ila sina taarifa zake kwa kina! na hivi kipo kigamboni sehemu gani kule?
   
 10. KICHUMVI

  KICHUMVI Senior Member

  #10
  Oct 21, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 114
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hiko ni chuo kipya kipo kigambon ukifika kibada uliza chuo cha wa korea jst ni mwendo wa dakika chache kwa pikipiki tu,mimi nilikifuatilia walisema kuwa kipo kwenye orodha ya vyuo kupitia tcu na watachukuwa wanafunzi mwaka huu wa masomo 2012/2013 lakin mi sikukiona.
  nimekuta wanajenga baadhi ya majengo na mengine yakiwa yamekamilika pamoja na lab za computer
   
Loading...