Msaada kuhusu tv zenye ving'amuzi vya ndani..

Hizo channel ulizo taja hapo.. Unazipata bure kwako kaka..? Mimi natumia Hisense nime unga antena ya startime.. Ila ina niambia no CI Module.. Kwenye hizo channel ulizo taja wewe.. Napata tu
TVE na Ndago TV.. hizo nyingine ziko locked kwangu
 
Vp bro! Channel hizo unazipata free bila malipo? na unafanyaje? Tv yangu inayo king'amuzi ndani. Pia nina uelewa wa haya mambo. Ila channel hizo ww unafanyaje kizipata ili na mm nizipate?
 
Sina hakika mkuu ila najua inabagua maeneo. Inataka miji mikubwa kama Dar. Ngoja tusubiri wadau waliokwisha tumia T2 mikoani.
Channel huwa zaja kwenye T2 ila hata zile zilizo FTA zinakuwa scrambled, nafikili ni hawa provider kama startimes, ting, azam wanaotumia mfumo wa terrestrial wanazuia tusio na dekoda zao tusipate
 
Hizo channel ulizo taja hapo.. Unazipata bure kwako kaka..? Mimi natumia Hisense nime unga antena ya startime.. Ila ina niambia no CI Module.. Kwenye hizo channel ulizo taja wewe.. Napata tu
TVE na Ndago TV.. hizo nyingine ziko locked kwangu
UPDATE: Nime Jaribu kufanya Search Tena.. nimepata hizi channel
  1. ITV
  2. EATV
  3. TVE
  4. NDAGO TV
  5. CAPITAL TV
  6. StarTimes Guide
  7. StarSwahili Guide
Nita Export hizi Channel Kwenye Flash Alafu nifanye Search tena mida ya usiku kama nitapata hizo zilizobaki
  1. TBC
  2. STAR TV
  3. CLOUDS TV
 
Bro naomba namba yako ya simu nkupigie unielekeze na mm unavyozipata hizo channel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…