darcity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2009
- 8,719
- 16,929
Nicheki dm mkuuNnaomba namba yako ya simu
Nicheki dm mkuuNnaomba namba yako ya simu
Tv yako ni kampuni gani?? MkuuHiyo hapo boss mimi natumia hiyo camcad ya azam ktk smart TV yangu .king'amuzi cha ndani ya TV kimekuwa cha azam View attachment 1929982View attachment 1929983View attachment 1929984
View attachment 1929985
Futi 6NA DISH LA FUT 3 AU 6
Naomba namba yako ya simu mkuu nikuulize kitu
Hizo channel ulizo taja hapo.. Unazipata bure kwako kaka..? Mimi natumia Hisense nime unga antena ya startime.. Ila ina niambia no CI Module.. Kwenye hizo channel ulizo taja wewe.. Napata tuTV zenye ving,amuzi mimi ninazo tatu sanyo, Philips na legacy lakini moja ndio inakubali dish na antena(legacy) bila kingamuzi, kwa antenna channel ninazopata ni:
1Capitol
2- ITV
3- TBC
4- STAR TV
5- CLOUD TV
6-ETV
7- ALJAZIRA
8- CITIZEN
9- EMANUEL TV.
hiyohiyo tv aina ya Lagency, kwa kutumia dish mwelekeo wa STAR TIME na Zuku nina pata channel nyingi sana zote za nje kwa muelekeo wa France Satellite
TV zenye ving,amuzi mimi ninazo tatu sanyo, Philips na legacy lakini moja ndio inakubali dish na antena(legacy) bila kingamuzi, kwa antenna channel ninazopata ni:
1Capitol
2- ITV
3- TBC
4- STAR TV
5- CLOUD TV
6-ETV
7- ALJAZIRA
8- CITIZEN
9- EMANUEL TV.
hiyohiyo tv aina ya Lagency, kwa kutumia dish mwelekeo wa STAR TIME na Zuku nina pata channel nyingi sana zote za nje kwa muelekeo wa France Satellitevp
Vp bro! Channel hizo unazipata free bila malipo? na unafanyaje? Tv yangu inayo king'amuzi ndani. Pia nina uelewa wa haya mambo. Ila channel hizo ww unafanyaje kizipata ili na mm nizipate?TV zenye ving,amuzi mimi ninazo tatu sanyo, Philips na legacy lakini moja ndio inakubali dish na antena(legacy) bila kingamuzi, kwa antenna channel ninazopata ni:
1Capitol
2- ITV
3- TBC
4- STAR TV
5- CLOUD TV
6-ETV
7- ALJAZIRA
8- CITIZEN
9- EMANUEL TV.
hiyohiyo tv aina ya Lagency, kwa kutumia dish mwelekeo wa STAR TIME na Zuku nina pata channel nyingi sana zote za nje kwa muelekeo wa France Satellite
Channel huwa zaja kwenye T2 ila hata zile zilizo FTA zinakuwa scrambled, nafikili ni hawa provider kama startimes, ting, azam wanaotumia mfumo wa terrestrial wanazuia tusio na dekoda zao tusipateSina hakika mkuu ila najua inabagua maeneo. Inataka miji mikubwa kama Dar. Ngoja tusubiri wadau waliokwisha tumia T2 mikoani.
UPDATE: Nime Jaribu kufanya Search Tena.. nimepata hizi channelHizo channel ulizo taja hapo.. Unazipata bure kwako kaka..? Mimi natumia Hisense nime unga antena ya startime.. Ila ina niambia no CI Module.. Kwenye hizo channel ulizo taja wewe.. Napata tu
TVE na Ndago TV.. hizo nyingine ziko locked kwangu
Mkuu hii tv yangu inauwezo huo ni tcl 43 inch android??View attachment 2009186UPDATE: Nime Jaribu kufanya Search Tena.. nimepata hizi channel
Nita Export hizi Channel Kwenye Flash Alafu nifanye Search tena mida ya usiku kama nitapata hizo zilizobaki
- ITV
- EATV
- TVE
- NDAGO TV
- CAPITAL TV
- StarTimes Guide
- StarSwahili Guide
- TBC
- STAR TV
- CLOUDS TV
Asante ngoja nitafute antenaInaweza. Funga antena tu usechi
Bro naomba namba yako ya simu nkupigie unielekeze na mm unavyozipata hizo channel.UPDATE: Nime Jaribu kufanya Search Tena.. nimepata hizi channel
Nita Export hizi Channel Kwenye Flash Alafu nifanye Search tena mida ya usiku kama nitapata hizo zilizobaki
- ITV
- EATV
- TVE
- NDAGO TV
- CAPITAL TV
- StarTimes Guide
- StarSwahili Guide
- TBC
- STAR TV
- CLOUDS TV