Unaitumiaje?Smart Tv yoyoye ina inbuilt decorder
Ok. Ni kweli ving'amuzi vya ndani vipo na vinafanya kazi. Vipo vya aina mbili, DVB T2 na DVB S2.Hisence
Hilo tobo la kutia kadi mboni silioni!Ok. Ni kweli ving'amuzi vya ndani vipo na vinafanya kazi. Vipo vya aina mbili, DVB T2 na DVB S2.
Ukikuta tv imeandikwa ina DVB T2 basi hiyo inaweza shika kwa antena tu, mji mkubwa kama Dar. Unatundika antena nje na kusechi...unapata bure baadhi ya channel za ndani. Antena nzuri ni za startimes.
Tv ikiwa na DVB S2 basi inaweza shika kwa dish. Hapa ukifunga dish kubwa la futi 6 au zaidi unapata bure itv, eatv, capital, tbc. Unaweza geuza uelekeo wa dishi ukapata channel ten, tve, startv. Pia unaweza ongeza channel za nje.
Pia DVB S2 zinaruhusu kutumia huduma za startimes na Azam kwa kununua kadi tu.
Unafunga dishi dogo tu halafu unanunua kadi kwao, wanakusajili, unachomeka kadi kwenye tv basi channel zote zinakuja kulingana na kifurushi utakacholipia.
Tv zenye DVB T2 ni antena tu ila zenye DVB S2 mara nyingi zina T2 ndani yake (2 in 1).
Tv yako ni DVB T2 au DVB S2?Hilo tobo la kutia kadi mboni silioni!
Hadi mikoani inashika? Mfano geitaOk. Ni kweli ving'amuzi vya ndani vipo na vinafanya kazi. Vipo vya aina mbili, DVB T2 na DVB S2.
Ukikuta tv imeandikwa ina DVB T2 basi hiyo inaweza shika kwa antena tu, mji mkubwa kama Dar. Unatundika antena nje na kusechi...unapata bure baadhi ya channel za ndani. Antena nzuri ni za startimes.
Tv ikiwa na DVB S2 basi inaweza shika kwa dish. Hapa ukifunga dish kubwa la futi 6 au zaidi unapata bure itv, eatv, capital, tbc. Unaweza geuza uelekeo wa dishi ukapata channel ten, tve, startv. Pia unaweza ongeza channel za nje.
Pia DVB S2 zinaruhusu kutumia huduma za startimes na Azam kwa kununua kadi tu.
Unafunga dishi dogo tu halafu unanunua kadi kwao, wanakusajili, unachomeka kadi kwenye tv basi channel zote zinakuja kulingana na kifurushi utakacholipia.
Tv zenye DVB T2 ni antena tu ila zenye DVB S2 mara nyingi zina T2 ndani yake (2 in 1).
DVB S2 inashika kokote mkuu.Hadi mikoani inashika? Mfano geita
T2?DVB S2 inashika kokote mkuu.
Sina hakika mkuu ila najua inabagua maeneo. Inataka miji mikubwa kama Dar. Ngoja tusubiri wadau waliokwisha tumia T2 mikoani.
Asante mkuu kwa maelezo mazuri..Ok. Ni kweli ving'amuzi vya ndani vipo na vinafanya kazi. Vipo vya aina mbili, DVB T2 na DVB S2.
Ukikuta tv imeandikwa ina DVB T2 basi hiyo inaweza shika kwa antena tu, mji mkubwa kama Dar. Unatundika antena nje na kusechi...unapata bure baadhi ya channel za ndani. Antena nzuri ni za startimes.
Tv ikiwa na DVB S2 basi inaweza shika kwa dish. Hapa ukifunga dish kubwa la futi 6 au zaidi unapata bure itv, eatv, capital, tbc. Unaweza geuza uelekeo wa dishi ukapata channel ten, tve, startv. Pia, unaweza ongeza channel za nje. Hii ni kokote, mjini au kijijini.
Pia, DVB S2 zinaruhusu kutumia huduma za startimes na Azam kwa kununua kadi tu.
Unafunga dishi dogo tu halafu unanunua kadi tu kwao, wanakusajili, unachomeka kadi kwenye tv basi channel zote zinakuja kulingana na kifurushi utakacholipia.
Tv zenye DVB T2 ni antena tu ila zenye DVB S2 mara nyingi zina T2 ndani yake (2 in 1).
TV zenye ving,amuzi mimi ninazo tatu sanyo, Philips na legacy lakini moja ndio inakubali dish na antena(legacy) bila kingamuzi, kwa antenna channel ninazopata ni:Wakuu nimeambiwa unaweza tumia antena tu kupata channels je ni kweli?
Vipi kunahitajika ujuzi wowote wa kuinstall na kupata hizo channels.
Na kama zinapatikana ni channels zipi na hizo antenna zinauzwaje!?
Asanten
Mkuu antena zinauzwaje? Naweza pata kkoo?TV zenye ving,amuzi mimi ninazo tatu sanyo, Philips na legacy lakini moja ndio inakubali dish na antena(legacy) bila kingamuzi, kwa antenna channel ninazopata ni:
1Capitol
2- ITV
3- TBC
4- STAR TV
5- CLOUD TV
6-ETV
7- ALJAZIRA
8- CITIZEN
9- EMANUEL TV.
hiyohiyo tv aina ya Lagency, kwa kutumia dish mwelekeo wa STAR TIME na Zuku nina pata channel nyingi sana zote za nje kwa muelekeo wa France Satellite
Mkuu antenna hizi zakawaida tu, na ukiwa sehemu nzuri hata vile vidogo viantenna va mezani, vinakubaliMkuu antena zinauzwaje? Naweza pata kkoo?
Nashukuru mkuu..Mkuu antenna hizi zakawaida tu, na ukiwa sehemu nzuri hata vile vidogo viantenna va mezani, vinakubaliView attachment 1920509View attachment 1920510
Haya maelezo ya DVB unayaona kwenye manual mkuu au sehemu gani?Jaribu then ulete mrejesho..